Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

Uliyesema haina quality ulitakiwa utupe hata sababu kwanini utasema hivyo, tungeheshimu mawazo yako pia.
Binafsi nimenunua nakuitumia
Wametendea haki hako kashilingi kwa kweli, kwanza ukiipuliza haichuruziki maji yaani inakauka hapo hapo, then haiachi doa kwenye nguo, kama mtumiaji wa perfume na unajua Og na fake utanielewa , afu harufu yake inatulia haraka after kupuliza, pia harufu yake ina last, kwa kiwango cha bidhaa ya mtanzania wamejitahidi kwa kweli, tujifunze kutoa credit when its due.
 
harufu yake ina last kwa muda gani?
 
We jamaa bhana,sasa Neyo akiinunua ndo anaifanya iwe bora?
 
Sijainunua kwa kweli.... nahisi itakuwa nzuri
 

Ila ina harufu ya ajabu ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…