Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah respect kwako mkuuMkuu napenda sana ID yako kwani nikiigeuza tu kutoka nyuma kuja mbele napata ID ya Mtu mmoja ' maarufu ' mno humu JF. Hongera kwa ' ubunifu ' uliotukuka.
Imeandikwa Eau De PerfumeNi De toilette au De Perfume?!,.
Basi itakua kiwangooo...Imeandikwa Eau De Perfume
Nitakuzawadia.Basi itakua kiwangooo...
Ahahahahaaaaa...Mi mpaka niisikie harufu yake ndiyo nitajua nzuri au mbaya maana wengine huwa tunapenda hata harufu ya kwapa au hata harufu ya mafuta ya taa
harufu yake ina last kwa muda gani?Uliyesema haina quality ulitakiwa utupe hata sababu kwanini utasema hivyo, tungeheshimu mawazo yako pia.
Binafsi nimenunua nakuitumia
Wametendea haki hako kashilingi kwa kweli, kwanza ukiipuliza haichuruziki maji yaani inakauka hapo hapo, then haiachi doa kwenye nguo, kama mtumiaji wa perfume na unajua Og na fake utanielewa , afu harufu yake inatulia haraka after kupuliza, pia harufu yake ina last, kwa kiwango cha bidhaa ya mtanzania wamejitahidi kwa kweli, tujifunze kutoa credit when its due.
We jamaa bhana,sasa Neyo akiinunua ndo anaifanya iwe bora?Mtu mkubwa kama Neyo anaponunua chbu pafyum ujue ipo vzr sana coz hata ww inapaswa ushuru umeweza kutumia ktu ambacho neyo anatumia unadhan had bidhaa inaingia marekani masikhara sema nyie ni watu wa roho mbaya tunawajua [emoji13] [emoji12] mtabak kuchakua jalalank ivo ivo et haina kwalit we kuku kwel wakat hyo sabun unayoogea ya elf 1
Nilivaa nguo ijumaa iliyopita nikapuliza, nilivyorudi nyumbani nikazitupia kwenye washing bin jana jioni nimezifua bado zinanukia.harufu yake ina last kwa muda gani?
Uliyesema haina quality ulitakiwa utupe hata sababu kwanini utasema hivyo, tungeheshimu mawazo yako pia.
Binafsi nimenunua nakuitumia
Wametendea haki hako kashilingi kwa kweli, kwanza ukiipuliza haichuruziki maji yaani inakauka hapo hapo, then haiachi doa kwenye nguo, kama mtumiaji wa perfume na unajua Og na fake utanielewa , afu harufu yake inatulia haraka after kupuliza, pia harufu yake ina last, kwa kiwango cha bidhaa ya mtanzania wamejitahidi kwa kweli, tujifunze kutoa credit when its due.
Ajabu ajabu ndo harufu gani iyoIla ina harufu ya ajabu ajabu