Ukweli mchungu: Sakata la Catherine Magige, Bunge letu limeonesha udhaifu

Wiki iliyopita wabunge wa bunge la Tanzania walichanga michango ya rambirambi na kumpa mwenzao aliyekuwa anaiba mume wa mtu na kusababisha matatizo makubwa kwa familia hiyo ikiwemo kutishia ndoa kuvunjika.

Catherine Magige alikuwa ni mwizi wa mume halali wa Aziza Msuya hivyo Bunge likiwa kama chombo cha kutunga sheria kuwalinda wananchi ilibidi lipinge vikali mwenzao kuvunja sheria kwa kuiba mume halali wa mwanamke mwingine na hatimaye kutaka kunyang'anya shughuli ya mazishi.

BUNGE HILI NI LA AJABU SANA. LIACHE KULINDA WATU WAOVU.
SISI WANANCHI TUMESIKITISHWA SANA KUONA BUNGE LINATOA RAMBIRAMBI KWA MDANGAJI.
Bunge haramu haliwezi kuendesha shughuli halali, linahalisha haramu kuwa halali
 
Zingatia ushauri tuliokupa. Tumia K... yako vizuri. Yule Magoba alikuwa na mke na watoto. Kwanini nyie wadangaji muumize watoto wasio na hatia?
Jitafakari sana. Hata CCM kama Chama tumelaani huo ushenzi.
Ni kweli K ni mali yake ila alipaswa kuitumia vzr .... amewaumiza sana wototo na mama yao kwa tukio hilo - CCM wasipochukua hatua kali basi na chama kimeshiriki uberadhuli huu na kitapata laana !!
 
Mtu asiye na akili za kutosha anaweza kuishia kwenye hoja za kipumbavu kama hizi za kwako. Suala la Magoba kuwa na mke na watoto halimzuii kuwa na mke na watoto wengine pia. Fungua ufahamu wako! hapo ulipo hujawahi kuletewa maumivu ya watoto wa Magoba zaidi ya kujipendekeza kijinga. Ungekuwa na akili timamu ungemfuata Aziza umuulize ni nini alimfanyia Magoba, na kwanini kama alikuwa anaibiwa mume alikuwa 'ame relax"? acha ujinga!
 
Endelea kutembeza hiyo k... kwa waume za watu halafu utaona mwisho wake.
Jifanye mjanja tu.
 
Ni kweli K ni mali yake ila alipaswa kuitumia vzr .... amewaumiza sana wototo na mama yao kwa tukio hilo - CCM wasipochukua hatua kali basi na chama kimeshiriki uberadhuli huu na kitapata laana !!
Kweli mkuu.
 
Mtu asiye na akili za kutosha anaweza kuishia kwenye hoja za kipumbavu kama hizi za kwako. Suala la Magoba kuwa na mke na watoto halimzuii kuwa na mke na watoto wengine pia. Fungua ufahamu wako! hapo ulipo hujawahi kuletewa maumivu ya watoto wa Magoba zaidi ya kujipendekeza kijinga. Ungekuwa na akili timamu ungemfuata Aziza umuulize ni nini alimfanyia Magoba, na kwanini kama alikuwa anaibiwa mume alikuwa 'ame relax"? acha ujinga!

Point of correction ni Madoda..........
Pili acha kumtetea huyo mzinifu kwanin ihataki kuwa na mme wake pekee? kwa historia ya huyu dada hajawahi kuwa na kijana ambaye amtengeneze awe mkewe
 
usipoteze muda wako kufuatilia maisha ya watu. Tafuta faranga, hayo mengine waachie wenyewe, whether ni mke halali au kimada it is none of your business. kwani k ni ya kwako? ana uhuru wa kumpa yoyote anayemtaka.
Umekosea jambo ovu likemewe
 
He uko dunia gani bila kampain utapigiwa kura na nani viti maalum wanatoa rushwa na kuzunguka mkoa mzima kuwashawishi wanaowapigia kura
Viti maalum mtaji ni k... yako na jinsi ya kuzungusha kiuno.
Siasa za bongo nazijua tangu enzi hizo.
 
Point of correction ni Madoda..........
Pili acha kumtetea huyo mzinifu kwanin ihataki kuwa na mme wake pekee? kwa historia ya huyu dada hajawahi kuwa na kijana ambaye amtengeneze awe mkewe
Well said mkuu
 
Mtu asiye na akili za kutosha anaweza kuishia kwenye hoja za kipumbavu kama hizi za kwako. Suala la Magoba kuwa na mke na watoto halimzuii kuwa na mke na watoto wengine pia. Fungua ufahamu wako! hapo ulipo hujawahi kuletewa maumivu ya watoto wa Magoba zaidi ya kujipendekeza kijinga. Ungekuwa na akili timamu ungemfuata Aziza umuulize ni nini alimfanyia Magoba, na kwanini kama alikuwa anaibiwa mume alikuwa 'ame relax"? acha ujinga!

Huyo Magige si mke mchepuko wa Kagasheki! Ina maana alikuwa na wanaume wawili? Hatari sana!
 
Back
Top Bottom