Ukweli mchungu: Sakata la Catherine Magige, Bunge letu limeonesha udhaifu

Point of correction ni Madoda..........
Pili acha kumtetea huyo mzinifu kwanin ihataki kuwa na mme wake pekee? kwa historia ya huyu dada hajawahi kuwa na kijana ambaye amtengeneze awe mkewe
Simjui, hanijui. Simtetei bali natoa maoni yangu katika hiyo situation. Suala la uzinifu wewe ni nani wa kulizungumzia? Wewe ni msafi kiasi gani mpaka uwe hakimu wa suala la 'uzinifu'? Btw, nani alikuambia kuwa 'wazinifu' hawaruhusiwi kuwazika wanaume au wanawake waliokuwa wakizini nao? kwanini mnaacha kujadili mambo ya msingi mnakimbilia kujadili masuala ambayo hata hamuwezi kuyathibitisha? Kwa hiyo mke wa Madoda alimwacha mumewe awe anazini na Catherine, halafu akasubiri afe ili amwadhibu mwanamke mwenzake kwa kujaribu kumzuia kuja kumzika na kutupa shada lake la maua? Mnaangalia historia ya Catherine, nani aliwadanganya kuwa Mungu huwa anajihangaisha na historia? Hovyoo!
 
Wiki iliyopita Wabunge wa Bunge la Tanzania walichanga michango ya rambirambi na kumpa mwenzao aliyekuwa anaiba mume wa mtu na kusababisha matatizo makubwa kwa familia hiyo ikiwemo kutishia ndoa kuvunjika.

Catherine Magige alikuwa ni mwizi wa mume halali wa Aziza Msuya hivyo Bunge likiwa kama chombo cha kutunga Sheria kuwalinda Wananchi ilibidi lipinge vikali mwenzao kuvunja Sheria kwa kuiba mume halali wa mwanamke mwingine na hatimaye kutaka kunyang'anya shughuli ya mazishi.

BUNGE HILI NI LA AJABU SANA. LIACHE KULINDA WATU WAOVU. SISI WANANCHI TUMESIKITISHWA SANA KUONA BUNGE LINATOA RAMBIRAMBI KWA MDANGAJI.
Hizo ni issue za watu binasi.Ufahamu wako wa hilo jambo,ni tofauti kabisa.Yaan hilo jambo haulielewi kabisa.Umelivamia ,ili utupotoshe na sisi tumekushitukia.Unataka kutudanganya kuwa bunge limemchangia kitu ambacho sio cha kweli.Pia unataka kutudanganya kuwa huyo mbunge alimuibia mwenzake mume.Kitu ambacho si kweli.Ukweli ni kuwa ,Marehemu na mke wa zamani walikuwa katika process za kutengana.Na Magige alikuwa akiingia kuchukua nafasi kwa taaratibu nzuri tu.Na wabunge wa marafiki wamemchangia kama rafiki tu.Conc:Watu wengi mna frustration za maisha ,chuki .Kwa hiyo kila MTU mnamchukia na kumzushia.
 
Tuliza kinemb.e wewe mwizi wa waume za watu.
Unataka kuhalalisha umalaya wako kwa hoja rahisi namna hiyo.
Ushauri: K... ni yako hatukatai ila heshimu familia za watu. Huo ujasiri wa kutaka kupora hadi maiti umeutoa wapi?
Wewe ni zaidi ya shetani!.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Mm nafikiri kabla ya kutoa matusi yako ,fuatilia hiyo issue kwa uhakika ili uijue vizuri.Nina taarifa kuwa magige alishatambulishwa kwao na marehemu.Kabla hatujaanza kutoa matusi ,tutafute ufahamu wa jambo.Hii unaweza kuitumia hata kwenye kaz au biashara.Kwa kuelewa kitu kwanza ndio uongee.Mungu akubaliki.
 
Uhakika kutoka wapi? Sisi kama Chama tumehuzunika sana. CCM haijawahi kukutana na watu wa aina yako.

Ushauri: umalaya ni haki yako ila heshimu familia za watu. Hivi hata watoto huwaonei huruma????
 
Hayo mambo lakini ni personel
Hata wabunge,majaji,mahakimu,polisi,wajed nao wana hisia za kupenda/kupendwa

Ova
 
Bunge liache kujadili issuez za maendeleo lije kujadili mahusiano ya watu ? Utakuwa ni uwenda wazimu kwannsi kuna vyombo vya kisheria vipo .....swala lenyewe lilikuwa limekaa kifamilia zaidi, wangeweza kumalizana kifamilia zaidi
Wiki iliyopita Wabunge wa Bunge la Tanzania walichanga michango ya rambirambi na kumpa mwenzao aliyekuwa anaiba mume wa mtu na kusababisha matatizo makubwa kwa familia hiyo ikiwemo kutishia ndoa kuvunjika.

Catherine Magige alikuwa ni mwizi wa mume halali wa Aziza Msuya hivyo Bunge likiwa kama chombo cha kutunga Sheria kuwalinda Wananchi ilibidi lipinge vikali mwenzao kuvunja Sheria kwa kuiba mume halali wa mwanamke mwingine na hatimaye kutaka kunyang'anya shughuli ya mazishi.

BUNGE HILI NI LA AJABU SANA. LIACHE KULINDA WATU WAOVU. SISI WANANCHI TUMESIKITISHWA SANA KUONA BUNGE LINATOA RAMBIRAMBI KWA MDANGAJI.
 
Wiki iliyopita Wabunge wa Bunge la Tanzania walichanga michango ya rambirambi na kumpa mwenzao aliyekuwa anaiba mume wa mtu na kusababisha matatizo makubwa kwa familia hiyo ikiwemo kutishia ndoa kuvunjika.

Catherine Magige alikuwa ni mwizi wa mume halali wa Aziza Msuya hivyo Bunge likiwa kama chombo cha kutunga Sheria kuwalinda Wananchi ilibidi lipinge vikali mwenzao kuvunja Sheria kwa kuiba mume halali wa mwanamke mwingine na hatimaye kutaka kunyang'anya shughuli ya mazishi.

BUNGE HILI NI LA AJABU SANA. LIACHE KULINDA WATU WAOVU. SISI WANANCHI TUMESIKITISHWA SANA KUONA BUNGE LINATOA RAMBIRAMBI KWA MDANGAJI.
Si limejaa design hiyohiyo usishangae!!
 
Uhakika kutoka wapi? Sisi kama Chama tumehuzunika sana. CCM haijawahi kukutana na watu wa aina yako.

Ushauri: umalaya ni haki yako ila heshimu familia za watu. Hivi hata watoto huwaonei huruma????
Kama kweli ,unapenda kuwa mkweli.Fuatilia kwa watu wa karibu wa Magige na marehemu.Wanajua kila kitu.Mm nafikiri ww unapenda kuvamia taarifa kwa juu.Na kuanza kuzipotosha.Jifunze kufuatilia taarifa kwa undani na upate ukweli.Nimeshakwambia hata kaz au biashara ukitaka kuifanya vizuri.Ifuatilie na uielewe vizuri.Shaka aliropoka.Sidhani kama ataongea tena.
 
Wiki iliyopita Wabunge wa Bunge la Tanzania walichanga michango ya rambirambi na kumpa mwenzao aliyekuwa anaiba mume wa mtu na kusababisha matatizo makubwa kwa familia hiyo ikiwemo kutishia ndoa kuvunjika.

Catherine Magige alikuwa ni mwizi wa mume halali wa Aziza Msuya hivyo Bunge likiwa kama chombo cha kutunga Sheria kuwalinda Wananchi ilibidi lipinge vikali mwenzao kuvunja Sheria kwa kuiba mume halali wa mwanamke mwingine na hatimaye kutaka kunyang'anya shughuli ya mazishi.

BUNGE HILI NI LA AJABU SANA. LIACHE KULINDA WATU WAOVU. SISI WANANCHI TUMESIKITISHWA SANA KUONA BUNGE LINATOA RAMBIRAMBI KWA MDANGAJI.
Kuna mtu atakuwa amedunga mwiba
 
Marehemu alikuwa mstari was mbele kujaza mafuta ya magari ya kampeni ya Magige.Hivyo usishangae michango kwa wabunge.
Kwa hiyo mtu anaekusaidia kuiba akifariki unapewa rambi rambi?
Na wezi wenzio au!!!
 
Nyie wadangaji acheni kuvunja familia za watu.
Huo ni ushenzi. Mnatumia K... kutesa familia za wengine. Hiyo haikubaliki!
Mkuu jinsia yako tafadhali.

Maisha ya watu achana nayo utafariki kama sio kufa.
 
Tutasimama na mjane na watoto. Wewe siamama na malaya na wadangaji. Kila mtu afanye kile anapenda.
 
Na we we si uoe uone moto.Wa ndoa.

By the way wanawake hata wakiwa na makosa wanapewa huruma.
Bahati mbaya MTU akishakufa haongeagi tena.
 
Back
Top Bottom