Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Uzi huu utajieleza kwa picha
Hii nchi imeshajifiaMahakama za simu moja
Saivi kila wananchi ajiangalie namna ya kujipambania. Hii nchi imeshajifiaKila kitu ni ccm kasoro wananchi wa kawaida!
CCM wanajuwa vema kuwa, wananchi haiwaitaki, sasa ili kuwadhibiti wananchi, wameamua kuwa vyombo vyote ili kulinda uharamu wao
Saivi ni kikundi cha wacheza ngoma na chawaTAKUKURU ilikuwa enzi za Ben buana.
Wewe ufumwe kwenye engo zao kama hujaenda aliko Mwenyekiti wakoUzi huu utajieleza kwa picha
View attachment 3440103
View attachment 3440104
View attachment 3440105
Hilo ndo wanaloweza sasaivi. Kuwakomoa wananchi wasio na hasira.Wewe ufumwe kwenye engo zao kama hujaenda aliko Mwenyekiti wako
Walioko jela ndio wenye hatia, zingua uoneHilo ndo wanaloweza sasaivi. Kuwakomoa wananchi wasio na hasira.
TutakuwepoWalioko jela ndio wenye hatia, zingua uone
Hakuna vyombo nchi hii. Kuna vikundi vya wahuni tu waliopewa madaraka.Uhalisia utendaji kazi wa hivyo vyombo umelalia upande wa wananchi wa kawaida inaumiza sana.
Uchumi wa nchi ukiwa mbovu kila kitu kinakuwa hopeless. Deni linazidi kupaa fedha wanapewa chauma na wanasiasa uchwara.sidhani kama tunaweza kupata maendeleo kwenye karne hii.Mwendokasi ya trani na mabasi ni hasara tupu,shirika la ndege ni hasara tupu. Mashirika ya uma yote ni madudu matupu.Uzi huu utajieleza kwa picha
View attachment 3440103
View attachment 3440104
View attachment 3440105
NakaziaKikubwa usikamatwe pale kamba yako inapokaribia mwisho wake.