Ukweli Mchungu: Sasa kila Mwananchi ajipambanie kivyake

Kila kitu ni ccm kasoro wananchi wa kawaida!

CCM wanajuwa vema kuwa, wananchi haiwaitaki, sasa ili kuwadhibiti wananchi, wameamua kuwa vyombo vyote ili kulinda uharamu wao
 
Uhalisia utendaji kazi wa hivyo vyombo umelalia upande wa wananchi wa kawaida inaumiza sana.
 
Kikubwa usikamatwe pale kamba yako inapokaribia mwisho wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…