Kumbe nguvu ya soda tu Seikali haiwezi kuendeleza mradi mkubwa kama huo sio rahisi. Bora wametoa fursa kwa wawekezaji Wananchi waje nao kuwekeza katika huo mradi. Kazi Iendelee Mama Samia.View attachment 3017687
Mbona barabarani kuna makampuni kibao,
Makampuni kwenye SGR yawe mengi, yalipe tu kiwango fulani serikalini kisha yapige kazi.
View attachment 3017688
Tumeona kinachoendelea kwenye Mwendokasi ni aibu tu na mateso kwa abiria. Tusikubali SGR ifike huko. BINAFSISHA mara MOJA kama anavyosema Waziri Mbarawa
Nitajie CEO wa UDART halafu uniambie nani alimteua? Siyo mnaandika tu JF bila kujuaALIEKWAMBIA MWENDO KASI INAENDESHWA NA SERIKALI 100% NI NANI? UDART SIO SERIKALI NDUGU NI KAMPUNI TANZU, NDIO MAANA MABASI YAO HAYANA PLATE NUMBER YA SU, NA KODI YA IMPORTATION WANALIPA
Umeishia darasa la ngapi wewe!!!ALIEKWAMBIA MWENDO KASI INAENDESHWA NA SERIKALI 100% NI NANI? UDART SIO SERIKALI NDUGU NI KAMPUNI TANZU, NDIO MAANA MABASI YAO HAYANA PLATE NUMBER YA SU, NA KODI YA IMPORTATION WANALIPA
Ni kitu kinachotukwamisha, upigaji, ufisadi, wizi na ujambazi kwenye mali za umma.Watu weusi tuna matatizo sana. Wakati treni hii inafanya majaribio ya miundombinu mlianza kuponda ile speed eti treni gani ina speed ndogo kuliko Bus, mkaambiwa hii ni Test ya miundombinu tu. Leo hii treni imefanya safari kwa dakika 114 hamjasifia ila mmekuja na ukosoaji ambao ni unforeseen.
πππ sawa sawaNi kitu kinachotukwamisha, upigaji, ufisadi, wizi na ujambazi kwenye mali za umma.
Mendokasi wamepewa monopoly kwa route zote muhimu bado wanashindwa tatizo ni uongozi, usimamizi, msimamiaji.
Mtu mweusi hakuna anachoweza, labda pombe na ngono!
Kila aliyeko huku jf Yuko hapa nchini ambapo ni muda wa breakfast?!Hata haujakunywa chai ushaanza kuilaumu serikali!!?
Ww ndo ulyeandika Uzi? Au mihemko!!! Move ur biiiichKila aliyeko huku jf Yuko hapa nchini ambapo ni muda wa breakfast?!
Unaelewa maana ya kampuni tanzu?Nitajie CEO wa UDART halafu uniambie nani alimteua? Siyo mnaandika tu JF bila kujua
Hakuna tunachoweza,majibu kamili mtapata baada ya uchaguzi wa 2025 yaani ripoti ya CAG #2026.View attachment 3017687
Mbona barabarani kuna makampuni kibao,
Makampuni kwenye SGR yawe mengi, yalipe tu kiwango fulani serikalini kisha yapige kazi.
View attachment 3017688
Tumeona kinachoendelea kwenye Mwendokasi ni aibu tu na mateso kwa abiria. Tusikubali SGR ifike huko. BINAFSISHA mara MOJA kama anavyosema Waziri Mbarawa
Kwa kifupi serikali ya CCM inaajiri vilaza sifa wanayoangalia zaidi ni uwe chawa."60% ya watumishi wengi walio serikali hawana uwezo"Prof.Asad
Swala sio vilaza Bali Mwendazake Alikurupuka,wrong timing and decion na mara nyingi watu wasio na akili hukombilia hizi structures Ili kuwapumbaza mbulula.Kwa kifupi serikali ya CCM inaajiri vilaza sifa wanayoangalia zaidi ni uwe chawa.