UKWELI MCHUNGU: Simba hakustahili kucheza Bonanza la AFL!

Ukweli mchungu.

Tunachofurahia sisi kama Yanga ni kwamba tunajulikana kwa kufanya makubwa, hatujulikani kwa kutengenezewa matukio ambayo yanalazimisha tujulikane na kiwango ni kidogo sana.

Ni kweli timu yao inajulikana lakini sio kwa mambo ya mpira, kama ni fainali yoyote hawajacheza, kama ni medali yoyote hawana, kama ni makombe mengi hawana, ni utashi tu wa watu wao waliozoea michongo😀.

Yaani timu haijulikani kwa mambo ya mpira, utasikia sisi ni Timu Kubwa Africa wakati wanaishia Fobo Fainali hadi Mapinduzi Cup na hii nayo ndio kama mnavyoona. Kikubwa kujisifia mambo yasiyo ya kimpira kama kupostiwa na page za michezo, yaani ni utoto mtupu kwanzia viongozi, walivyoitwa mbumbumbu hawakukosea kabisa.

Sisi tutafahamika kwa kupitia ujuzi na ubora wa ndani ya uwanja tu, hatutaki mambo mengine.

NB; Kuna tofauti sanaa kati ya timu bora na timu maarufu, yenu sio bora ni maarufu.😂🤝
NB:
Mama Ako ndio ange enda kucheza sorry for that
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Unaumia kutoka wapi we dada? Haya vua pampers kajioshe uchafu. Nawambia Simba inawapa maumivu mpaka mnapata hedhi za ghafla
Mjibu mwenzenu Huyu hapa chini usiniletee makasirikio and stupidity,

JF sio mahali pako, humu huwa tunashindana kwa hoja, ukijibu mtu bila hoja unajitangaza ulivyo kilaza and bushman!
 
Attachments

  • VID-20231022-WA0001.mp4
    1.2 MB
OIG.HDiK9x6.jpeg
 
Mjibu mwenzenu Huyu hapa chini usiniletee makasirikio and stupidity,

JF sio mahali pako, humu huwa tunashindana kwa hoja, ukijibu mtu bila hoja unajitangaza ulivyo kilaza and bushman!
Sasa wewe una hoja gani kama siyo dharau kwa Simba.? Tunakujibu vile unavyokuja. Ukija kwa staha tutakustahi, ila ukija na shombo tunakurudishia shombo.

Na huyo uliyemuweka hapo siyo mwana Simba. Simba ni sisi
 
Ohoooo! Aisee nilikuwa sijui kumbe mbumbumbu Makolokwinyo wanajitambua!!
Kumbe kukataa ukweli na kushangilia vibovu ndio sifa ya kolowizard og!
Yanga oyeee!!
 
Mjibu mwenzenu Huyu hapa chini usiniletee makasirikio and stupidity,

JF sio mahali pako, humu huwa tunashindana kwa hoja, ukijibu mtu bila hoja unajitangaza ulivyo kilaza and bushman!
Mwakani watatumia ranks za CAF kupata timu 24 za kucheza AFL,mwaka huu hata wangetumia rank za CAF kupata timu 8,Simba wangecheza lakini Yanga wasingecheza,ni lazima Yanga mjue ukubwa wa Simba
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Simba ipo pot 2 na ina pointi 35 kwenye ranking.Nyie Utopolo mpo pot ipi na mna points ngapi kwenye ranking za CAF.
Tuanzie hapa.
 
Mamelody kamla Petro atletico apo apo
 
Yale ni mashindano ya wanaume, wanawake hamruhusiwi kucheza kule nyie endeleeni kupeta mpunga na mabwana zenu Ihefu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hizo nguvu mnazotumia kuiponda Simba so Bora makatumia kuifanya timu yenu kuwa Bora Africa. Nani hajui michuano aliyofika robo fainali nyinyi mlifurushwa mapema halafu mnataka tulingane?
Yanga tutaendelea kuvunja kila rekodi mliyoweka kolowizard na kuwanyamazisha!

Msimu huu tutatinga nusu fainali klabu bingwa Africa na kufunga midomo yote ya mbumbumbu fc Makolokwinyo! Hii itaua rekodi zote za miaka yote za Simba!

Halafu tayari tumeshtukia mpango wa marefa wa kibongo wasioitwa nje kuchezesha , wamedhihirisha Wana mpango wa kuibeba kolowizard kubeba kombe NBC premier league msimu huu, Singida Big Stars walinyimwa goli halali la wazi Ili Simba ishinde na hii yote ni kazi ya Kolowizard Mr Karai sijui kwanini hawaachii watu wengine wenye kutenda haki waongoze TFF
 
Kule kwetu ungonini kuna neno moja linaitwa "KIHIMWISI". Maana yake ni mtu ambaye akilizake zimeyumba kidogo yaani hazifanyi kazi sawa sawa kulinganisha na umri wake mkubwa. Kiufupi wewe ni KIHIMWISI.
Sasa mtu kama huyu, ndiyo awe jirani yako kimakazi, ama mko pamoja kwenye shuguri za kiuchumi, alafu hujui uwezo wa kufikili kwake, watu wakikuona uko karibu nae, wanakuzalau na wewe.

Watu wa aina hii wana migogoro sana na majirani zao, sababu vichwa vyao, vimejaa chuki, na wivu.
 
Kule kwetu ungonini kuna neno moja linaitwa "KIHIMWISI". Maana yake ni mtu ambaye akilizake zimeyumba kidogo yaani hazifanyi kazi sawa sawa kulinganisha na umri wake mkubwa. Kiufupi wewe ni KIHIMWISI.
Kihimii Mwandamizi !
 
Yanga tutaendelea kuvunja kila rekodi mliyoweka kolowizard na kuwanyamazisha!

Msimu huu tutatinga nusu fainali klabu bingwa Africa na kufunga midomo yote ya mbumbumbu fc Makolokwinyo! Hii itaua rekodi zote za miaka yote za Simba!

Halafu tayari tumeshtukia mpango wa marefa wa kibongo wasioitwa nje kuchezesha , wamedhihirisha Wana mpango wa kuibeba kolowizard kubeba kombe NBC premier league msimu huu, Singida Big Stars walinyimwa goli halali la wazi Ili Simba ishinde na hii yote ni kazi ya Kolowizard Mr Karai sijui kwanini hawaachii watu wengine wenye kutenda haki waongoze TFF
Mnasem Simba haina rekodi yoyote ...na nyie Yañga Ndio mnarekodi za Uwanjani ! Sasa mnataia mvunje rekodi za Umaarufu huohii mnaouponda ! Aisee ...kumbe kweli majina yanaumba! ...UTOPOLO😁
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ukweli mchungu.

Tunachofurahia sisi kama Yanga ni kwamba tunajulikana kwa kufanya makubwa, hatujulikani kwa kutengenezewa matukio ambayo yanalazimisha tujulikane na kiwango ni kidogo sana.

Ni kweli timu yao inajulikana lakini sio kwa mambo ya mpira, kama ni fainali yoyote hawajacheza, kama ni medali yoyote hawana, kama ni makombe mengi hawana, ni utashi tu wa watu wao waliozoea michongo[emoji3].

Yaani timu haijulikani kwa mambo ya mpira, utasikia sisi ni Timu Kubwa Africa wakati wanaishia Fobo Fainali hadi Mapinduzi Cup na hii nayo ndio kama mnavyoona. Kikubwa kujisifia mambo yasiyo ya kimpira kama kupostiwa na page za michezo, yaani ni utoto mtupu kwanzia viongozi, walivyoitwa mbumbumbu hawakukosea kabisa.

Sisi tutafahamika kwa kupitia ujuzi na ubora wa ndani ya uwanja tu, hatutaki mambo mengine.

NB; Kuna tofauti sanaa kati ya timu bora na timu maarufu, yenu sio bora ni maarufu.[emoji23][emoji1666]
Naam.
 
Yanga tutaendelea kuvunja kila rekodi mliyoweka kolowizard na kuwanyamazisha!

Msimu huu tutatinga nusu fainali klabu bingwa Africa na kufunga midomo yote ya mbumbumbu fc Makolokwinyo! Hii itaua rekodi zote za miaka yote za Simba!

Halafu tayari tumeshtukia mpango wa marefa wa kibongo wasioitwa nje kuchezesha , wamedhihirisha Wana mpango wa kuibeba kolowizard kubeba kombe NBC premier league msimu huu, Singida Big Stars walinyimwa goli halali la wazi Ili Simba ishinde na hii yote ni kazi ya Kolowizard Mr Karai sijui kwanini hawaachii watu wengine wenye kutenda haki waongoze TFF
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Timu ina miaka 23 haikuwahi kunusa makundi leo eti wanastahili 😅😅😅 yaan FIFA na CAF unaweza kufikiri hawana akili kiasi hicho.

Kweli nyuma mwiko😅😅
Ni miaka 23 + 2 mkuu ...Kwa kifupi Robo Karne ! Halafu bado wanajiita wakubwa!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
FOOTBALL African Football League: Arsene Wenger, Gianni Infantino in the stands as Simba, Al Ahly play out an entertaining draw
Allan Damba • 11:44 - 21.10.2023
The game lived up to the prior billing, with former Arsenal manager Arsene Wenger and FIFA president Gianni Infantino all in the stands at the Benjamin Mkapa Stadium.
 
MBAKA Huu Mzunguko wa kwanza Simba ndio timu yenye Takwimu Bora kuliko timu zote.

SIMBA SPORTS CLUB.
Complete passes - 546
Pass accuracy - 86%
Shot on Target - 6
Goals- 2.

"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Back
Top Bottom