SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
Mechi mbili mfululizo tumepiga MABINGWA wa MCHONGO wawili ...😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Wanayanga wanavyotaja hayo magoli matatu ya kumfunga waydad Casablanca utafikiri ni kama kumsukuma tu mlevi mtaroni [emoji706][emoji706]
Hii hatua ni ngumu na sote tunaelewa hivyo isipokuwa mashabiki maandazi kama mtoa mada.
Kwaiyo ubora wa timu yako ni sawa na hao kaizer chiefs waliomtoa whydad? Unapotafuta bangi ya kuvuta uwe unaangalia iliyokauka vizuri ili kukuepushia matatizo kama aya!Mashabiki maandazi huwa wanajiandikia tu bila kufuatilia. Msimu ule Kaizer Chief alivyotoka kumtoa mnyama akaja kujipigia kamoja hao Wydad hapo hapo kwao na kule south ikawa 0-0 na Kaizer kutinga final.
AseeKwaiyo ubora wa timu yako ni sawa na hao kaizer chiefs waliomtoa whydad? Unapotafuta bangi ya kuvuta uwe unaangalia iliyokauka vizuri ili kukuepushia matatizo kama aya!
Kaizer ana ubora gani kuliko Simba Wewe uto?Kwaiyo ubora wa timu yako ni sawa na hao kaizer chiefs waliomtoa whydad? Unapotafuta bangi ya kuvuta uwe unaangalia iliyokauka vizuri ili kukuepushia matatizo kama aya!
Kama hana ubora ulishindwa nini kumtoa, Mwenzako alifika fainali wewe na ubora wako uliishia wapi labdaKaizer ana ubora gani kuliko Simba Wewe uto?
Mpira unadunda mkuu.Tatizo ukweli hatupend kuusikia