Ukweli mchungu: Simba mwendo ameumaliza Kwa wydadi

Wanayanga wanavyotaja hayo magoli matatu ya kumfunga waydad Casablanca utafikiri ni kama kumsukuma tu mlevi mtaroni 🚮🚮

Hii hatua ni ngumu na sote tunaelewa hivyo isipokuwa mashabiki maandazi kama mtoa mada.
 
wenzako waliomba ban jf kisa ubishan huu huu wa simba so sishangai kwa maandishi yako.
umekaa kishabiki zaid kuliko kiuhalisia na hilo ndilo tatzo lako.
See you nextweek
Tatizo ukweli hatupend kuusikia
 
MAPUNGUFU ALIONAYO CHAMA YTAIGHARIMU SIMBA. HAWEZI KUJUA WAPI NITOE PASS KWA HARAKA TIMING MBOVU SANA
Kabisa mkuu ... that y alifeli Morocco....Kwa kuwa na mpira wa slow
 
Wanayanga wanavyotaja hayo magoli matatu ya kumfunga waydad Casablanca utafikiri ni kama kumsukuma tu mlevi mtaroni [emoji706][emoji706]

Hii hatua ni ngumu na sote tunaelewa hivyo isipokuwa mashabiki maandazi kama mtoa mada.
[emoji23][emoji23]
 
Mashabiki maandazi huwa wanajiandikia tu bila kufuatilia. Msimu ule Kaizer Chief alivyotoka kumtoa mnyama akaja kujipigia kamoja hao Wydad hapo hapo kwao na kule south ikawa 0-0 na Kaizer kutinga final.
Kwaiyo ubora wa timu yako ni sawa na hao kaizer chiefs waliomtoa whydad? Unapotafuta bangi ya kuvuta uwe unaangalia iliyokauka vizuri ili kukuepushia matatizo kama aya!
 
Kwaiyo ubora wa timu yako ni sawa na hao kaizer chiefs waliomtoa whydad? Unapotafuta bangi ya kuvuta uwe unaangalia iliyokauka vizuri ili kukuepushia matatizo kama aya!
Kaizer ana ubora gani kuliko Simba Wewe uto?
 
Kwaiyo ubora wa timu yako ni sawa na hao kaizer chiefs waliomtoa whydad? Unapotafuta bangi ya kuvuta uwe unaangalia iliyokauka vizuri ili kukuepushia matatizo kama aya!
Rage alishasema ni mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…