Ulisemalo ni kweli binafsi nimeshuhudia waliovalia njano wanashangilia timu makorokocho, Tena pale tu waliposhindwa kujizuia kama ni korokocho FC🤔.Ni ukweli usiopingika kama timu hatukupenda kuingia game hii kwa wakati huu. Nilitazama barabarani, vibanda umiza na popote hata mashabiki wetu hawakujiamini kama msimu ulioisha. Idadi ya watu waliovaa jezi zetu bado ilikuwa ni ndogo sana kulinganisha na miaka ya karibuni nafikiri ni kutokana na record yetu mbaya kwa vyura.
Matokeo: Si Simba wala Yanga anaethubutu kuyachukia kwa mechi ya leo.
Mpira ni Mchezo wa wazi, Simba walijaribu kucheza kidogo dakika 10 za mwisho, Muda mwingi wakikaa nyuma shida ikawa wakipata mpira hawana mtu mwenye kasi ya kuwasumbua Yanga.Kweli kabisa ndio mana uwanjani mashabiki wengi walikuwa wa vyura.
NB:Wewe ni utopwenga LUNYASI hakuna watu mazuzu kama wewe.
Kisaikolojia Uongozi wa Simba ulishaitoa timu Mchezoni Tangu Jana walipoanza kulalamikia mabango mbaka kocha alihusishwa.
Kocha wa Simba kaingia uwanjani kucheza kama underdog, Kilicho msaidia Yanga hawakua na kasi yao ya kawaida. Yanga ili athirika kwa wachezaji kukaa muda mrefu bila kucheza, Waka kosa Ile kasi yao ya kawaida.
Yanga waliocheza vizuri kipindi cha kwanza attempt zao kwenye goli zilikuwa ngapi?Timu ya kwanza leo kufanya attempt kwenye goli ambayo ilikuwa on target ilikuwa SimbaMpira ni Mchezo wa wazi, Simba walijaribu kucheza kidogo dakika 10 za mwisho, Muda mwingi wakikaa nyuma shida ikawa wakipata mpira hawana mtu mwenye kasi ya kuwasumbua Yanga.
Duh kwahiyo unamaanisha simba haina watu wanaosema ukweli wote ni kuongea kwa maslahi ya timuKweli kabisa ndio mana uwanjani mashabiki wengi walikuwa wa vyura.
NB:Wewe ni utopwenga LUNYASI hakuna watu mazuzu kama wewe.
Hiyo underdog unajua wewe yani favorite kwa michezo wa Leo alikuwa ni simba na wameonyesha hilo bati haikuwa kwa upande wa simba,Kisaikolojia Uongozi wa Simba ulishaitoa timu Mchezoni Tangu Jana walipoanza kulalamikia mabango mbaka kocha alihusishwa.
Kocha wa Simba kaingia uwanjani kucheza kama underdog, Kilicho msaidia Yanga hawakua na kasi yao ya kawaida. Yanga ili athirika kwa wachezaji kukaa muda mrefu bila kucheza, Waka kosa Ile kasi yao ya kawaida.