Bwajilo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2021
- 361
- 926
Ni ukweli usiopingika kama timu hatukupenda kuingia game hii kwa wakati huu.
Nilitazama barabarani, vibanda umiza na popote hata mashabiki wetu hawakujiamini kama msimu ulioishaId
Idadi ya watu waliovaa jezi zetu bado ilikuwa ni ndogo sana kulinganisha na miaka ya karibuni nafikiri ni kutokana na record yetu mbaya kwa vyura.
Matokeo: Si Simba wala Yanga anaethubutu kuyachukia kwa mechi ya leo.