Ukweli mchungu, Tanzania bado Hatuna chama pinzani thabiti na imara kinachoweza kupambana na dola!

Jamii ya kitanzania inahitaji watu wenye mawazo kama yao wafike angalau milion 20 ili tuweze kujikomboa
 
Tatizo siyo chama, tatizo ni watu wenye mioyo migumu hakuna zaidi ya njaa......kizazi cha mbwa koko hiki...uende front yakuharibikie halafu ukimbilie Ubelgiji peke yako utaweza?...we kubali kufyata mkia
 
Sijajua mleta mada una maana gani. Jaribu wewe kama una nguvu za kushindana na chama kinachoshika dola. Wapinzani wamejaribu sana na wamekuwa wakishinda sasa unataka wafanye nini wakati wanainuliwa mtutu na dola.
 
Wengine wameuliwa live mbele za macho yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…