Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Yapo lakini majiziHuu uzi wangu simple&clear
Hauna maneno mengi ila ni kuwajulisha wale wote wenye imani na viongozi walio hapa nchini.
Kiukweli kama taifa hapa Tanzania hatuna kabisa viongozi wa kuipeleka hii nchi kwenye mafanikio ya kimaendeleo makubwa.
UKWELI MCHUNGU: Tanzania tuna viongozi ambao hawawezi kuwa hata wenyeviti wa mitaa huko Uchina kwa kuanza na the so called Rais mpaka mjumbe.
Ni hayo tu machache over
Tatizo hatuna SIASA SAFI TANZANIA.Huu uzi wangu simple&clear
Hauna maneno mengi ila ni kuwajulisha wale wote wenye imani na viongozi walio hapa nchini.
Kiukweli kama taifa hapa Tanzania hatuna kabisa viongozi wa kuipeleka hii nchi kwenye mafanikio ya kimaendeleo makubwa.
UKWELI MCHUNGU: Tanzania tuna viongozi ambao hawawezi kuwa hata wenyeviti wa mitaa huko Uchina kwa kuanza na the so called Rais mpaka mjumbe.
Ni hayo tu machache over
Nakuhakikisha hakuna, hakuna anayeweza system ya wale jamaa lazima mfumo uwakatae mapema asubuhiYapo lakini majizi
Tuna matatizo mengi sana kiongozi wa nje wa nchi bora akifika hapa lazima apate kinyaa kwa mifumo yetu ya kijamii, kisiasa na kiuchumiTatizo hatuna SIASA SAFI TANZANIA.
Upo sahihi sn mkuuHuu uzi wangu simple&clear
Hauna maneno mengi ila ni kuwajulisha wale wote wenye imani na viongozi walio hapa nchini.
Kiukweli kama taifa hapa Tanzania hatuna kabisa viongozi wa kuipeleka hii nchi kwenye mafanikio ya kimaendeleo makubwa.
UKWELI MCHUNGU: Tanzania tuna viongozi ambao hawawezi kuwa hata wenyeviti wa mitaa huko Uchina kwa kuanza na the so called Rais mpaka mjumbe.
Ni hayo tu machache over
Kwa huu mfumo wa hovyo hata aje Biden hatafanya chochoteViongozi wapo, ila mfumo ndo corrupt.
Mfumo ukirekebika, wale wale wataonyesha maajabu,
Tubadili mfumo.
Shida sanaUafrika hasa utanzania ni laana.
Sasa sidhani kama ukiishi kwenye laana, kunakuwa na uongozi bora!
Akili kubwa. Kiongozi yupo kimya kuhusu rasilimali nyeti, muhimu kwa Taifa. Tuna kiongozi hapo?Huu uzi wangu simple&clear
Hauna maneno mengi ila ni kuwajulisha wale wote wenye imani na viongozi walio hapa nchini.
Kiukweli kama taifa hapa Tanzania hatuna kabisa viongozi wa kuipeleka hii nchi kwenye mafanikio ya kimaendeleo makubwa.
UKWELI MCHUNGU: Tanzania tuna viongozi ambao hawawezi kuwa hata wenyeviti wa mitaa huko Uchina kwa kuanza na the so called Rais mpaka mjumbe.
"Inshort tuna wapiga kelele wa majukwaani wanaoitwa viongozi".
Ni hayo tu machache over
Mfumo ni naniKwa huu mfumo wa hovyo hata aje Biden hatafanya chochote
Sisi tuna wapiga kelele wa majukwaaniViongozi wapo, ila mfumo ndo corrupt and rotten.
Mfumo ukirekebika, wale wale wataonyesha maajabu,
Tubadili mfumo.
KabisaKwa huu mfumo wa hovyo hata aje Biden hatafanya chochote
Mkuu uongozi ni nini? Wajibu wa kiongozi ni upi?Huu uzi wangu simple&clear
Hauna maneno mengi ila ni kuwajulisha wale wote wenye imani na viongozi walio hapa nchini.
Kiukweli kama taifa hapa Tanzania hatuna kabisa viongozi wa kuipeleka hii nchi kwenye mafanikio ya kimaendeleo makubwa.
UKWELI MCHUNGU: Tanzania tuna viongozi ambao hawawezi kuwa hata wenyeviti wa mitaa huko Uchina kwa kuanza na the so called Rais mpaka mjumbe.
"Inshort tuna wapiga kelele wa majukwaani wanaoitwa viongozi".
Ni hayo tu machache over
Na wapiga domoWachumia Tumbo.
Shida sanaAkili kubwa. Kiongozi yupo kimya kuhusu rasilimali nyeti, muhimu kwa Taifa. Tuna kiongozi hapo?
NAKAZIAUafrika hasa utanzania ni laana.