UKWELI MCHUNGU Tanzania hatuna viongozi

UKWELI MCHUNGU Tanzania hatuna viongozi

Mfumo ni nani
Anayetengeneza huo mfumo ni nani
Umetengenezwa na CCM, sisi tunafanya kazi kwa maono ya Rais na siyo dira ya taifa, kesho akija Rais mwingine anakuja na yake badala ya kuwa na mwendelezo wa yale ya mtangulizi, pia viongozi hawawajibiki kwa wananchi isipokuwa wananchi ndiyo wanawajibika kwa viongozi, wewe DC hata akiuza stand ya halmashauri utamfanya nini kama Rais hajaamua? rejea Sabaya alijitwika Afisa wa TRA wa kaskazini. Tuna katiba ya kijinga sn
 
Huu uzi wangu simple&clear

Hauna maneno mengi ila ni kuwajulisha wale wote wenye imani na viongozi walio hapa nchini.

Kiukweli kama taifa hapa Tanzania hatuna kabisa viongozi wa kuipeleka hii nchi kwenye mafanikio ya kimaendeleo makubwa.

UKWELI MCHUNGU: Tanzania tuna viongozi ambao hawawezi kuwa hata wenyeviti wa mitaa huko Uchina kwa kuanza na the so called Rais mpaka mjumbe.

"Inshort tuna wapiga kelele wa majukwaani wanaoitwa viongozi".

Ni hayo tu machache over
Naunga mkono ,tuna majizi na matapeli tu
 
Subiria kutukanwa... na akina mwijaku na kitenge.
 
SERA! Aitwae KIONGOZI ni pamoja na kuwauzia WENYE NCHI zile sera za kujikwamua katika MASUALA yanayoikabili nchi yao na kuwavusha wazishinde changamito za maisha ya leo na huko baadae nuru ya NEEMA iwawakie CHINI ya UTAWALA WA SHERIA walopitisha WANANCHI hao. KATIBA YA WANANCHI inayohakikisha pamoja na mengineyo UTAWALA BORA na sio usultani, uchifu-koko au UFALME wenye chimbuko la ukwasi wakifisadi na ulevi wa kutawala. KIONGOZI huyo azinadi SERA zake na zikubalike na wengi kwenye sanduku la chaguzi huru na za haki chini ya KATIBA tajwa. Awe na UKOMAVU pendekezwa, MCHA MUNGU na NDOA kamilifu pia n .....
 
Umetengenezwa na CCM, sisi tunafanya kazi kwa maono ya Rais na siyo dira ya taifa, kesho akija Rais mwingine anakuja na yake badala ya kuwa na mwendelezo wa yale ya mtangulizi, pia viongozi hawawajibiki kwa wananchi isipokuwa wananchi ndiyo wanawajibika kwa viongozi, wewe DC hata akiuza stand ya halmashauri utamfanya nini kama Rais hajaamua? rejea Sabaya alijitwika Afisa wa TRA wa kaskazini. Tuna katiba ya kijinga sn
Ukiitazama Nchi hii ilivyo Rais ndiye kila kitu.
Rais ndiye CCM anaamua CCM iende vipi ni utashi wake. Leo akisema tuwe na katiba bora CCM hawana nguvu ya kubisha. Kwa mantiki hii mifumo yote nchi hii ni Rais akitaka sekta flani ifanye hivi inafanya. Hivyo kama tuna mifumo mibovu moja kwa moja Rais ndiye mbovu
 
Viongozi wapo, ila mfumo ndo corrupt and rotten.

Mfumo ukirekebika, wale wale wataonyesha maajabu,

Tubadili mfumo.
Uko sahihi.. nadhani pia inabidi katika katiba kuwe na Sheria inayowawajibisha viongozi ipasavyo hata kwa blunder walizofanya kipindi Cha nyuma . Hapa ndio transparency itakuwa in play
 
Tatizo kubwa tulilonalo kumkabidhi mtu mmoja kila kitu yeye awe msemaji wa mwisho, katiba ifanyiwe marekebisho ndio tutapata viongozi wawajibikaji
 
Ukiitazama Nchi hii ilivyo Rais ndiye kila kitu.
Rais ndiye CCM anaamua CCM iende vipi ni utashi wake. Leo akisema tuwe na katiba bora CCM hawana nguvu ya kubisha. Kwa mantiki hii mifumo yote nchi hii ni Rais akitaka sekta flani ifanye hivi inafanya. Hivyo kama tuna mifumo mibovu moja kwa moja Rais ndiye mbovu
Mfumo wa hovyo sn haufai
 
Huu uzi wangu simple&clear

Hauna maneno mengi ila ni kuwajulisha wale wote wenye imani na viongozi walio hapa nchini.

Kiukweli kama taifa hapa Tanzania hatuna kabisa viongozi wa kuipeleka hii nchi kwenye mafanikio ya kimaendeleo makubwa.

UKWELI MCHUNGU: Tanzania tuna viongozi ambao hawawezi kuwa hata wenyeviti wa mitaa huko Uchina kwa kuanza na the so called Rais mpaka mjumbe.

"Inshort tuna wapiga kelele wa majukwaani wanaoitwa viongozi".

Ni hayo tu machache over
Inabidi wewe ndiyo utuongoze
 
Sasa tuna muImba taarab, badala ya kutatua matatizo yeye anshusha vijembe vya uswahilini
 
Hivi P.W.Botha aliposema sema "mwafrika hawezi kujitawala";hamku muelewa Sawa sawa naona.Tanzania Kuna watawala sio viongozi na mbaya zaidi kama taifa tumetoa nafasi ya wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi.

Tanzania kwa sasa inahitaji kiongozi kama emperor Meiji wa Japan.
 
Viongozi wapo, ila mfumo ndo corrupt and rotten.

Mfumo ukirekebika, wale wale wataonyesha maajabu,

Tubadili mfumo.
Mkuu huwezi tumia watu walewale walio tengeneza tatizo fulani kuja kutatua tatizo lile lile huu,utakuwa ni uwendawazimu au ukichangaa kabisa.
 
Back
Top Bottom