Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Umetengenezwa na CCM, sisi tunafanya kazi kwa maono ya Rais na siyo dira ya taifa, kesho akija Rais mwingine anakuja na yake badala ya kuwa na mwendelezo wa yale ya mtangulizi, pia viongozi hawawajibiki kwa wananchi isipokuwa wananchi ndiyo wanawajibika kwa viongozi, wewe DC hata akiuza stand ya halmashauri utamfanya nini kama Rais hajaamua? rejea Sabaya alijitwika Afisa wa TRA wa kaskazini. Tuna katiba ya kijinga snMfumo ni nani
Anayetengeneza huo mfumo ni nani