Ukweli mchungu: Tanzania is NOT catching up to Kenya

Ukweli mchungu: Tanzania is NOT catching up to Kenya

Hebu tuambie dar sehemu gn ulikuwa unaishi mana ktk maneno 1000 ya mkenya chukua moja na usiliamini 100%[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
mimi ilikua siiishi uko..but ilikua nalala kwa hoteli..nakumbuka most ilikua ni hoteli yaitwa sapphire. nilikua nakuja tu kikazi uko kama wiki mbili au moja na kurudi
 
mimi ilikua siiishi uko..but ilikua nalala kwa hoteli..nakumbuka most ilikua ni hoteli yaitwa sapphire
Yn ulale hotelini alafu useme tz bado hv unajua kwmb tz ndiyo nchi pekee yenye anasa za kila aina hapa EA? ni heri ungenambia ulikuwa unaishi uswazi ambapo napo pia huwez fananisha na uswazi ya Nairobi [emoji3][emoji3]
 
nimekuuliza sikuizi ethiopia is not among the east african nation?
Alafu nyie wadudu mbn cc huwa hatutafuti usaidizi wa nchi jirani? Tukipost sgr yetu utaskia mbuzi from Kenya inaongelea Ethiopia, tukipost cable bridge utaskia ng'ombe from kibera inataja Uganda alafu mnakaa hapa mnaongelea tz vs Kenya, sema tz vs East and Central of Africa mbuzi nyie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ok that's just a projection so subiri the reality ndo uongee.
Ngoja 2021 ifike tuone kama hatutakuwa tumefikisha triple digits. Huwa nakuambia kuwa Kenya sio ligi yenu na huwa husikii. Huwa unataka kulazimisha Kenya iwe ligi ya Tanzania. Sisi ni number sita Afrika kwa Gdp nyie ni wa kumi.
 
Ngoja 2021 ifike tuone kama hatutakuwa tumefikisha triple digits. Huwa nakuambia kuwa Kenya sio ligi yenu na huwa husikii. Huwa unataka kulazimisha Kenya iwe ligi ya Tanzania. Sisi ni number sita Afrika kwa Gdp nyie ni wa kumi.
Still both are at a two digit economy [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Boss nimekupea miezi michache ya kucheka. Mwaka ujao sio mbali. November tayari imeisha

hii GDP mnaikikimbiza mpaka ifike ngapi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

maana hata US haijafika bado.
 
Back
Top Bottom