Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Hiyo GDP ni madeni matupu, hivi unaweza kuwa na shilling 1000 mfukoni katika hizo 700 ni deni la mtu lazima ulipe halafu unamcheka mwenye 600 yake ambae hadaiwi hata cent?Ss ndo nn unakuwa na GDP kubwa alafu bado unashindwa kufanya miradi kwa pesa ya ndani na bado wananchi wanakufa njaa, ina faida gn ss?
Hizi mbuzi akili hazina, GDP yao ni ya kwenye makaratasi tu on the ground ni njaa na madeni tupu.