The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Una elimu ndogo sn ww [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji121][emoji121]so wewe unasema ethiopia haipo among east african nation?
mimi ilikua siiishi uko..but ilikua nalala kwa hoteli..nakumbuka most ilikua ni hoteli yaitwa sapphire. nilikua nakuja tu kikazi uko kama wiki mbili au moja na kurudiHebu tuambie dar sehemu gn ulikuwa unaishi mana ktk maneno 1000 ya mkenya chukua moja na usiliamini 100%[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mmeonaaa [emoji121][emoji121][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mimi ilikua siiishi uko..but ilikua nalala kwa hoteli..nakumbuka most ilikua ni hoteli yaitwa sapphire
nimekuuliza sikuizi ethiopia is not among the east african nation?Una elimu ndogo sn ww [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji121][emoji121]
Yn ulale hotelini alafu useme tz bado hv unajua kwmb tz ndiyo nchi pekee yenye anasa za kila aina hapa EA? ni heri ungenambia ulikuwa unaishi uswazi ambapo napo pia huwez fananisha na uswazi ya Nairobi [emoji3][emoji3]mimi ilikua siiishi uko..but ilikua nalala kwa hoteli..nakumbuka most ilikua ni hoteli yaitwa sapphire
We unatia aibu wakenya wenzako [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]nimekuuliza sikuizi ethiopia is not among the east african nation?
Unaijua EAC? Tuanzie hapo kwnz mana elimu imeshindwa kabisa kumkomboa mkenya [emoji3][emoji3][emoji3]
Alafu nyie wadudu mbn cc huwa hatutafuti usaidizi wa nchi jirani? Tukipost sgr yetu utaskia mbuzi from Kenya inaongelea Ethiopia, tukipost cable bridge utaskia ng'ombe from kibera inataja Uganda alafu mnakaa hapa mnaongelea tz vs Kenya, sema tz vs East and Central of Africa mbuzi nyie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimekuuliza sikuizi ethiopia is not among the east african nation?
Nina projection ya IMF kwamba by the time 2020 inaisha tutakuwa tumefika $100 billion.Ukinionesha credible source mko na 100 nahama jf [emoji3][emoji3]
Ok that's just a projection so subiri the reality ndo uongee.Nina projection ya IMF kwamba by the time 2020 inaisha tutakuwa tumefika $100 billion.
Ngoja 2021 ifike tuone kama hatutakuwa tumefikisha triple digits. Huwa nakuambia kuwa Kenya sio ligi yenu na huwa husikii. Huwa unataka kulazimisha Kenya iwe ligi ya Tanzania. Sisi ni number sita Afrika kwa Gdp nyie ni wa kumi.Ok that's just a projection so subiri the reality ndo uongee.
Still both are at a two digit economy [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ngoja 2021 ifike tuone kama hatutakuwa tumefikisha triple digits. Huwa nakuambia kuwa Kenya sio ligi yenu na huwa husikii. Huwa unataka kulazimisha Kenya iwe ligi ya Tanzania. Sisi ni number sita Afrika kwa Gdp nyie ni wa kumi.
Boss nimekupea miezi michache ya kucheka. Mwaka ujao sio mbali. November tayari imeisha.Still both are at a two digit economy [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwaka ujao ndiyo wakenya wengi mnakwenda ku left jf naomba ww ujikaze usiondoke humu hahahahahaaaBoss nimekupea miezi michache ya kucheka. Mwaka ujao sio mbali. November tayari imeisha
Boss nimekupea miezi michache ya kucheka. Mwaka ujao sio mbali. November tayari imeisha
GDP yetu tunataka ifike $100 billion.hii GDP mnaikikimbiza mpaka ifike ngapi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
maana hata US haijafika bado.
GDP yetu tunataka ifike $100 billion.
Ndio tuwe kigogo hapa Afrika Masharikihalafu ndio mfanye nayo nini!!!
Ss ndo nn unakuwa na GDP kubwa alafu bado unashindwa kufanya miradi kwa pesa ya ndani na bado wananchi wanakufa njaa, ina faida gn ss?Ndio tuwe kigogo hapa Afrika Mashariki
Ndio tuwe kigogo hapa Afrika Mashariki
Uchumi halisi wa kenya ni $60bn$99bln mmeshindwa kuwa vigogo,tunawageuza geuza tu,funua funua,rusha rusha tunavyotaka.
labda mnataka kuwa kigogo cha kukalia.