Ukweli mchungu: Tanzania is NOT catching up to Kenya

Ss ndo nn unakuwa na GDP kubwa alafu bado unashindwa kufanya miradi kwa pesa ya ndani na bado wananchi wanakufa njaa, ina faida gn ss?
Hiyo GDP ni madeni matupu, hivi unaweza kuwa na shilling 1000 mfukoni katika hizo 700 ni deni la mtu lazima ulipe halafu unamcheka mwenye 600 yake ambae hadaiwi hata cent?

Hizi mbuzi akili hazina, GDP yao ni ya kwenye makaratasi tu on the ground ni njaa na madeni tupu.
 
Tatizo mnalinganisha na hiyo ya kwenu ya mafuta.Hii ni umeme mazee,kuna mifumo ya umeme inabidi ikamilike ndio ianze kazi
Inaitwa kujiliwaza. Hii kitu yenyu iikwama 200 km mpaka mkaenda kuomba deni ya $1.4 billion na ni kama mabeberu wanaogopa kuwapa hio deni.
 
nibaki tuu idiot kama ujanja ni kununua watoto kwa 200$

kamtafte maza ako mukuru kwa njenga uko ,uache kujidai na story za kilimani apa
LOL naona utanzania (ujinga na kichaa) imekuzidi!! Kenya tuko juu yenyu mpaka ile siku Yesu atarudi. Usijalli gap ya GDP, infrastructure, elimu, export inazidi kupanuka huku nyinyi mkibaki na kazi ya uwivu na uchawi.
 
nibaki tuu idiot kama ujanja ni kununua watoto kwa 200$

kamtafte maza ako mukuru kwa njenga uko ,uache kujidai na story za kilimani apa
Alafu unaona jinsi Kenya iko juu, yani watu wa kibera na mukuru kwa njenga wako na hela mpaka ya kuwasumbua mitandaoni ilhali huko kwenu 60% ya watu wako katika ile umaskini ya kutupwa.
 
LOL naona utanzania (ujinga na kichaa) imekuzidi!! Kenya tuko juu yenyu mpaka ile siku Yesu atarudi. Usijalli gap ya GDP, infrastructure, elimu, export inazidi kupanuka huku nyinyi mkibaki na kazi ya uwivu na uchawi.
Alafu unaona jinsi Kenya iko juu, yani watu wa kibera na mukuru kwa njenga wako na hela mpaka ya kuwasumbua mitandaoni ilhali huko kwenu 60% ya watu wako katika ile umaskini ya kutupwa.
ushampata maza ako?
af ulivo kitoga ivo I bet uliuzwa kwa ksh 20.only
 
Alafu hawa Mataga wa Kunyaland wanapenda sana ligi na sisi. Sisi tuko kimpango wetu na nyie fateni yenu sio kujiongelesha ongelesha hapa
 
LOL naona utanzania (ujinga na kichaa) imekuzidi!! Kenya tuko juu yenyu mpaka ile siku Yesu atarudi. Usijalli gap ya GDP, infrastructure, elimu, export inazidi kupanuka huku nyinyi mkibaki na kazi ya uwivu na uchawi.
Tafuta Kenya nzima kitu km hii zen njoo unitag tuongelee modern infrastructures, the most modern bus stop in East and Central of Africa, alafu floor ya tatu kwenda chini utakuta underground parking kaliii hakuna mfano ukanda huu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Tatizo mnalinganisha na hiyo ya kwenu ya mafuta.Hii ni umeme mazee,kuna mifumo ya umeme inabidi ikamilike ndio ianze kazi
Boss, the laying of the line has nothing to do with the mode of locomotion. In any case, ours was more complex because it had more viaducts and bigger stations.
 
Mh hii graph inatisha aisee.

1985 to 1995 hii awamu haikuwa vizuri sana kwenye economic growth 1995 -2005 we were catching Kenya in terms of economy (Marehemu mzee Mkapa alikuwa vyema sana)

Then 2015 .... Gap LA uchumi kati yetu na Kenya limekuwa kubwa sana Kenya ametukimbiza sana kuanzia hapa aisee
 
Uchumi halisi wa kenya ni $60bn
Put here detailed evidenceπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ poor mental structure as usual thus no meaningful reasoningπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,team low IQ foreverπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hela zenyewe wako nazo ndo hz [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1629944View attachment 1629945
Hizi kuna specific numbers, very clear demacationπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nyie umasikini wa kiaina umetapakaa kote kote, tazama Dar ilivyo na usijifanye eti haujui ama nikuumbue sasa hiviπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Na hiiπŸ‘‡πŸ‘‡ hapa ni wale wa kutupwa balaa., hatujaongeza level yako mnao ishi in poor quality shitty low life residentaials kama zile za Dar na miji yenu yote., mko ovyo in Africa worst people! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ona sasa ulivyo fukara kimawazo na elimu kama wenzako The best 007 na Ichoboy01πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., nikisema mko na low mental structure to reason beyond face value mnakasirikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ #teamlowIQ
Pedestrian reasoning kishenziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa kwa vile marekani wako na deni la over 120% of the GDP nikitumia hizo fikra zako za kiajabu, ni mtu alie na 1000 kisha deni lake ni 1200, ina maana yeye itabidi akope ili alipe deni kisha ajimudu, hana lolote kabisaaa! Na Japan je? (200% of the GDP)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ basi Tanzania iko nafuu sana zaidi ya marekaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mko ovyo kishenzi KWA KILA KITU, KUANZIA FIKRA NA GROUND! Napenda mnavyo jaribu kujikweza.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Look at your reasoning hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., stendi ya mabasi, hapa ndio mtakomeaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., mara BRT, SGR ya umeme blah blahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., child play comparisonsπŸ˜‚πŸ˜‚.,

Put down economic value or output/impact of such to the country's economy.πŸ˜‚πŸ˜‚hapa najua hauwezi leta, level yako ni vipicha tu, outside outlook na cosmeticsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…