Ukweli mchungu: Ukifuatilia sana mambo ya dini, utabaini kuwa "Dini ni kwa ajili ya watoto"


Zaburi 14
1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.

2 Toka mbinguni Bwana aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye akili, Amtafutaye Mungu.
 
Kiranga Setfree em njoon
 
Setfree
 
Mkuu LIKUD kuna was*****e nataka niwaadhibu nikiwa Sawa itabidi nikutafute ili unipe ramani ya Wazee wako wa Lindi wakanifanyie jambo.

Nimemwomba sana Mungu lakini bado mambo yapo vilevile
 
Mkuu usikubali kubaki kwenye dini, nenda mbele zaidi hadi kwenye kile kilicho nyuma ya dini, huko utakutana na mambo mazuri sana ambayo dini haitaki uyaone. Mambo hayo ni uhuru wa kweli, ustawi wa kiuchumi, ushindi dhidi ya uonevu wa kiroho na uzima wa milele.
 
Kwamba niokoke?
 
Mungu wa Biblia Anampenda Shetani Zaidi ya Viumbe Vyake Vyote
- Baada ya shetani kumuasi huko mbinguni, hakumtupa Shetani kwenye jua bali alimpeleka duniani kwenye bustani yake nzuri zaidi.-

Si kweli, uasi wa shetani ulidhihirika siku alipomdanganya Eva, sio kwamba aliasi ndio akaenda kwa Eva

Shetani alisababisha binadamu kuanguka lakini Mungu alimfukuza binadamu na kumwacha Shetani akiwa hai.-

Wakati wa kutekeleza hukumu ya shetani na kumwangamiza pamoja na malaika zake bado, kwa hiyo uwe na subira.

Sio kweli, baada ya uasi wote walipewa hukumu, na zilikuwa zitekelezwe kwa wakato tofauti.Adamu na Eva waliambiwa watakufa, na Shetani aliambiwa atapondwa kichwa - ikimaanisha nae atauwawa. Sasa hukumu zinatekelezwa lini hilo ni suala la Mungu kuamua, sio wewe kumpangia


Shetani aliharibu ubinadamu na Mungu akaamua kuangamiza kila kitu kwa maji (safina na gharika kuu) na kumwacha Shetani bado yupo.-

Wakati wa kutekeleza hukumu ya shetani na kumwangamiza pamoja na malaika zake bado, kwa hiyo uwe na subira.

Shetani aliharibu SODOMA na GOMORA lakini Mungu aliuwa dunia nzima na kumwacha Shetani akiwa salama.-

Wakati wa kumwangamiza shetani na malaika zake ulikuwa bado na bado hujafika.Kumbuka wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora Masihi alikuwa hajatokezwa, na hili ilikuwa lazima litokee kwanza.Subiri, unakimbilia wapi?

Huko israel, Mungu anamtoa sadaka mwanawe wa pekee (yesu) afe na kumwacha Shetani akiwa hai salama.

Bado jibu la hapo juu linakufaa. Mungu alishasema saa inakuja ya hukumu ya shetani na wote wanaomfuata. Kwani wewe uko tayari hiyo saa itimie sasa?
 
Ukweli mchungu.
 
😂😂🤣Kuna wamba kwenye vitabu vya dini wao ndio miungu wenyewe yaan wanaabudiwa bila watu kujua.Musa ni miongoni mwao.
 
😂🤣🤣🤣
 
Ni Mungu ambaye uwezo wake wa kufikiria ni mdogo sana,huyu Mungu wa Biblia nina mashaka naye,tena makubwa🤣mno.nadhani kama ni muumba aliumba viumbe vyenye uwezo kuliko yeye.
Wakati wa kutekeleza hukumu ya shetani na kumwangamiza pamoja na malaika zake bado, kwa hiyo uwe na subira.
Ataangamizwa lini sasa?,hiv huyo Mungu wenu wa kwenye kitabu yupo sawa sawa kwel?
Waliponiacha hoi ni pale Mungu wa Biblia anabonga na shetani kuhusu Ayubu ,wanapanga njama ya kumjaribu.haki ya nani Mungu wa kitabu ni msanii kwel kwel.
 
Zaburi 14
1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.

2 Toka mbinguni Bwana aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye akili, Amtafutaye Mungu.
Mungu wa kwenye Biblia anakaa Mbinguni alafu anawachungulia watu ?,huyu Mungu ana jicho au sio?,kw hiyo ili aone lazma achungulie?,huyu Mungu wa kitabu n wa ajabu na ana sifa za kimtu ,ana jicho la kuchungulia,ana mkono wa kiume,pia ana matako ya kukalia kwenye kiti Cha enzi.in short ni waajabu sana.
 
Huko israel, Mungu anamtoa sadaka mwanawe wa pekee (yesu) afe na kumwacha Shetani akiwa hai salama.
Mungu wa Biblia anahamasisha utoaji wa kafara ya mtu ,hana maadili kbsa.dunia ya Leo ukimtoa kafara mtu ni ushetani lakini MUNGU wa Biblia alimtoa mtu Yesu Kristo awe kafara.oooh MUNGU wa wapi huyu?,oooh hafai kwenye jamii yetu.
 
Dunia ndio ilipofikia..na kadri siku zinavyoenda ndio watu wanavyopuuzia masuala ya dini,nakuhoji zaidi ni kama muarabu tu anavyopiga pesa zake za utalii kule maka.
 
Mithali 1: 7
Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.

Zaburi 53:
Mpumbavu husema moyoni, Hakuna Mungu; Ni wafisadi, na wametenda mambo ya kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…