Ukweli mchungu: Ukifuatilia sana mambo ya dini, utabaini kuwa "Dini ni kwa ajili ya watoto"

Hakuna haja ya kutokwa na povu maana uzuri wa hayo mambo ya dini haulazimishwi kufuuata au kuamini

Ni uamuzi wako ukitaka unafuata kama hautaki unaachana nayo
Mtetee MUNGU wako kaka ili uurithi ufalme wa Mbinguni ambao wew hata na ukoo wako hamjashiriki kuujenga ila mnaforce muurithi kama vile Koo yenu ilishiriki kuujenga.
 
Ukisoma biblia na quran kwa kutumia akili ya kuzaliwa utagundua dini hizi magumashi tupu.

Kuna ujinga na uongo wa wazi wazi mwingi sana.Mfano Biblia inakuambia eva aliongea na nyoka kuhusu tunda la bustan ya edeni

Huku Quran inakuambia mtume muhammad alipaa na punda mwenye mabawa kwenda mbinguni kwa ajili ya ku negotiate na mungu idadi ya swala ziwe 5 tu kwa siku.

Imagine nyoka anaongea na huku punda anapaaa zaidi ya njiwa na mungu una negotiate nae apunguze idadi ya swala kutoka 50 mpaka zinakuwa swala 5 kwa siku.
Haya mambo yanawezekana kwenye katuni wanazoangalia watoto.

Lakini mtu mzima ukiambiwa hivyo ukaamini, Bora ukaege nyumbani na wanao mkitazama katuni, maana upeo wenu wa kuchakata mambo ni sawa.
 
Mungu ni Roho, asiye na mwanzo wala mwisho, Muumba wa vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Yeye ndiye chanzo cha maisha, wa kuwepo kwa vyote.
The universe is full of energy,,only energy is something that can not be created nor destroyed.we have energy (soul or spirit) within us making life possible.energy is everywhere.our bodies return to the dust ,my energy never gets lost .kwa hiyo ndugu tumia akili ,achana na fikra za kutawaliwa kupitia dini.
 
The universe is full of energy,,only energy is something that can not be created nor destroyed.we have energy (soul or spirit) within us making life possible.energy is everywhere.our bodies return to the dust ,my energy never gets lost .kwa hiyo ndugu tumia akili ,achana na fikra za kutawaliwa kupitia dini
 
Ngoja upate ajari halafu unusulike kifo tuone utasemaje utakapo hojiwa, kule kwenye uzi wa utumishi wapinga Mungu ndio wanaoongoza kuomba Mungu waajiriwe hii dunia Ina maajabu
 
Mungu ni Roho, asiye na mwanzo wala mwisho, Muumba wa vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Yeye ndiye chanzo cha maisha, wa kuwepo kwa vyote.
Energy is there from the beginning,there is no the point from which energy (soul, spirit,force or in other name God ) began to exist,it is through energy,creation was possible.and the universe is of energy which makes life possible.we humans are scientific beings not religious beings,we need understand the rules of our universe to improve our lives.those are in the universe,what we can do is to discover those rules using our pure reasoning.*** religion, science is our savior.
 
The universe is full of energy,,only energy is something that can not be created nor destroyed.we have energy (soul or spirit) within us making life possible.energy is everywhere.our bodies return to the dust ,my energy never gets lost .kwa hiyo ndugu tumia akili ,achana na fikra za kutawaliwa kupitia dini.
In God We Trust:
images (11).jpeg

Ni kweli kabisa kuwa ulimwengu una nguvu nyingi zinazofanya maisha yawezekane, umeme, mvutano wa mvuto, mwanga, na hata nguvu ya maisha yenyewe. Lakini ukweli huu wa kisayansi hauondoi ukweli wa kiroho. Kwa sababu energy haidhibiti, haiongozi, wala haipendi, ni kipofu. Haijali kama unaumia, hujifunzi chochote, wala haitoi mwelekeo wa maadili.

Lakini Mungu wa kweli si nguvu isiyoeleweka tu. Yeye ni nafsi hai, mwenye mapenzi, hekima, na nia. Alijifunua kwa wanadamu kwa njia ya historia, manabii, na mwisho wake katika Yesu Kristo. Mungu huyu anasema: “Nitakuwa Baba yenu, nanyi mtakuwa wana wangu na binti zangu.” (2 Wakorintho 6:18)

Unaposema, "energy is everywhere", nakubaliana kwa kiwango cha maumbile. Lakini Mungu hayuko tu kila mahali kama nguvu, bali yupo kama mtawala mwenye nia, anayeweza kusikia maombi, kuongoza hatima, na kutufunulia ukweli wa maisha. Energy haiwezi kusema "nakupenda", wala haiwezi kukuhukumu au kukuokoa.

Kuhusu hoja kuwa “energy haiwezi kuharibiwa,” hiyo ni kweli katika muktadha wa kimwili. Lakini roho ya mwanadamu si energy ya kawaida. Roho ina dhamiri, hisia, uwezo wa kupenda, kuchukia, kufikiri na kutambua jema na baya, vitu ambavyo nguvu za kawaida hazina. Na Biblia inasema: “Roho ya mtu hurudi kwa Mungu aliyeitoa.” (Mhubiri 12:7)

Kuhusu dini kutawala akili, ni kweli, historia inaonyesha kuwa dini zimewahi kutumika vibaya. Lakini yesu hakutoa dini, alitoa uzima. Hakuitisha utumwa wa akili, bali ukombozi wa roho. Alisema: “Mtaifahamu kweli, nayo kweli itawaweka huru.” (Yohana 8:32)

Kwa hiyo ndugu, nakualika usimruhusu mfumo wa dunia hii uibe nafasi ya Mungu moyoni mwako. Kila mwanadamu ana shimo rohoni ambalo hujazwa na Mungu peke yake, si na nguvu, si na sayansi, si na falsafa. Kama uko tayari kumjua Mungu huyu wa kweli, anayekupenda bila masharti, unaweza kuanza kwa sala ya imani.

Naomba fuatisha sala hii:
Ee Mungu wa kweli uliye umba nguvu zote zilizopo katika miili yetu na zinazo endesha vitu vyote vilivyopo duniani na Mbinguni, najua nimekuwa nikitafuta maana ya maisha kwa njia zangu.
Nimeamini nguvu zisizo na utu, lakini moyo wangu bado hauna amani.
Leo ninakiri kuwa wewe ni zaidi ya nguvu – wewe ni Baba, Muumba, na Mwokozi.
Naamini kuwa Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zangu, na alifufuka ili niwe na uzima wa milele.
Nakukaribisha sasa moyoni mwangu. Nisamehe, unitakase, unielekeze.
Niondolee mashaka, na niongoze katika kweli yako.
Tokea leo, nataka kukujua si kwa dini, bali kwa uhusiano wa kweli.
Katika jina la Yesu,
Amina.

Ukweli hauogopi maswali. Mungu hakubaliwe kwa kubahatisha, bali kwa moyo wa unyenyekevu. Ukitaka, naweza kukupatia sehemu nzuri za kuanza kusoma Biblia au kujifunza kwa kina zaidi. Mungu yupo, si nguvu tu, ni Baba anayekupenda.
 
K
Ngoja upate ajari halafu unusulike kifo tuone utasemaje utakapo hojiwa, kule kwenye uzi wa utumishi wapinga Mungu ndio wanaoongoza kuomba Mungu waajiriwe hii dunia Ina maajabu
Kwa hiyo unaogopa kifo ?,kama ni hivyo wew una matatizo makubwa sana.
 
In God We Trust:
View attachment 3377663

My friend,I am African,pure pure African.kama wazee wetu walighaiwa sio mm tena nitalaghaiwa,I am spiritually awaken.huyo MUNGU unayemzungumzia Yuko ndani yangu.nina nguvu ndani yangu,mm sio mdogo kama dini inavyotaka nikiri.
 
Wew si

Wew sio mdogo kk Kam dini inavyokuambia,wew ni mtu mkubwa sana,sema haujui ukubwa wako
 
K

Kwa hiyo unaogopa kifo ?,kama ni hivyo wew una matatizo makubwa sana.
Utakuwa hujaelewa ninachomaanisha soma tena nilichoandika

Watu huwa wanafiki sana kwenye hizi nyuzi wanaakaa kushifu dini na Mungu ukienda nyuzi za kuomba ajira kila siku ni kumuomba Mungu waajiriwe nk sasa unauliza Mungu wanaemkashifu hapa niyupi na wanaemuomba kule ni yupi
 
Mimi naamini katika uwepo wa Mungu.
Ila naungana mzee LUKUD katika kuyatilia shaka haya madhehebu.

Mimi naomba nisaidiwe majibu ya maswali mawili.
(a) Msingi mkuu wa imani ya ukristo ni Israel, Kwanini Taifa la israel halina muda na ukristo? Haliutambui ukristo. Je tumuamini nani?
(b) Kwanini Mungu au malaika hawatokei watu live kama ilivyokuwa zamani...au ndio yaleyale kwamba kama binadamu alitokana na sokwe, mbona sokwe wa siku hizi hawabadiliki kuwa binadamu.
 
Au watu wazima wenye akili za kitoto ( The gullible ones).

Story za dini hizi za wazungu na waarabu ni utoto utoto tu.

Ni ajabu sana kuona mtu mzima bado ana amini kwa dhati kuhusu mambo ya dini.

Baba zima bila aibu eti linaongea kuhusu adhabu ya kaburi au moto wa jehanamu etc.

Ma Sheikh, walimu wa madrassa, wachungaji, maaskofu na mapadri wenyewe wanajua kwamba dini ni story za kutungwa na wajanja ndio maana kila siku wanalawiti watoto kwenye Sunday schools na madrassa.

Even Steve Wonder can see very clearly kwamba hizi dini zilitungwa na watu wenye akili ili wa wa control wajinga wengi.

Na walijua kwamba baada ya siku nyingi watu watapata maarifa na kujua janja janja Yao ndio maana wakatengeneza excuse kwamba " Siku za mwisho watu watamuasi Mungu"🤣🤣🤣.

Watu wa dini ni kama vile akili zao zimehama kabisa and I feel so shameful to be associated with them.

Just imagine, what is going on in Israel vs Iran.

Kuna watu na akili zao kabisa wanafurahia na kuwa proud kuona watu wa pande Fulani kwenye Vita hivyo wameuwawa.

Wakristu wanafurahia kuona wairan wakiuwawa na wa Islam wanafurahia kuona wa Israel wakiuwawa. Umeona jinsi watu hawa walivyo wendawazimu?

Halafu walivyo kuwa wendawazimu unaweza ukashangaa vita hiyo ikasambaa dunia nzima🤣🤣🤣🤣 Utoto raha nyie

Ukichunguza matendo ya watu wa dini zote mbili utagundua u wendawazimu mwingi sana kuanzia jinsi wanavyo abudu pamoja na mambo wanayo yaamini.

Wa Tanzania tusanuke. Mafundisho ya hizo dini mlizo letewa ni kwa ajili ya watoto na sip watu wazima kama nyie.

Kwa kusema hivyo, simaanishi kwamba Mungu hayupo.

Mungu yupo Ila hawa watu wa dini ndio wamemdifine vibaya ( Walivyo kuwa vilaza sasa utasikia wana comment, ungejuaje kama Mungu yupo isingekuwa kwa sababu ya dini?)
Mungu gani?

Unajuaje yupo?

Thibitisha Mungu huyo yupo.
 
Back
Top Bottom