Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Mungu gani?Mungu YUPO bana kaka mkubwa acha hizo bana.
Wewe mwenyewe unajua Mungu YUPO
Unajuaje yupo?
Thibitisha Mungu huyo yupo.
Mungu gani?Mungu YUPO bana kaka mkubwa acha hizo bana.
Wewe mwenyewe unajua Mungu YUPO
Hujajibu umejuaje yupo.Mungu alie niumba Mimi na wewe. Na alie uumba ulimwengu wote.
Kwani uwepo wa kitu lazima uthibitishwe.
Nikikwambia uthibitishe kuhusu uwepo wa Oxygen unaweza?
Hakuna battle mkuu.
KabisaaHajaelewa ,na istoshe hajui hata ni nani aliandika maandiko hayo
wewe ndio senior?Hakuna battle mkuu.
Hakuna battle kati ya kaka mkubwa na mdogo wake.
Mtoa mada hajapinga uwepo wa Mungu.Zaburi 14
1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
2 Toka mbinguni Bwana aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye akili, Amtafutaye Mungu.
Kaniita mwenyewe Kaka Mkubwa. Nimemuweka kundi moja na wadogo zangu.wewe ndio senior?
🤣🤣🤣Kaniita mwenyewe Kaka Mkubwa. Nimemuweka kundi moja na wadogo zangu.
Yani kanituliza vizuri, battle na mdogo wangu naanzaje?
Kwanza, Kua na adabuKwa Sababu wew u kipofu na maskini,huwez ukaona madhaifu ya huyo Mungu wako muliyemuumba nyinyi wenyew kwenye vitabu.yeye akuwaumba nyie ndiye muliyemuumba .Mungu mwenye tabia za kimtu ,anachoka,anakasirika,ana upendeleo,Mungu wa kikoloni,yaan anaumba kiumbe shetani anashindwa kukidhibiti.Mungu wa ajabu sana huyu
Unaweza kumwelezea Mungu nje na vitabu vya dini?...au specifically nje ya biblia...bila ya hizo dini za kikoloni isingekuwa na Mungu...ninachoamini Mungu yupo ila sio huyu wa kwenye vitabu vya diniMungu ni Roho, asiye na mwanzo wala mwisho, Muumba wa vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Yeye ndiye chanzo cha maisha, wa kuwepo kwa vyote. Hii ndiyo maana tunamwita “Mungu wa kweli.”
Katika Mwanzo 1:1, Biblia inaanza kwa kutangaza: “Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.” Hii inatuonesha kuwa Yeye yupo kabla ya wakati, kabla ya ulimwengu. Hakuzaliwa, hajaumbwa, hana mipaka ya mahali, muda, au uwezo. Yeye ni wa milele.
Swali lako la "Yuko wapi?" ni muhimu. Biblia inafundisha kwamba Mungu yuko kila mahali, lakini haimaanishi kila kitu ni Mungu. Uwepo wake uko kila mahali (omnipresent), lakini utukufu wake kamili hauwezi kuzingirwa na dunia. Kama inavyosemwa katika Yeremia 23:24:
“Je! mtu aweza kujificha mahali pasipoweza kuonekana na mimi? Asema Bwana. Je! Mimi si najaza mbingu na nchi?”
Hata hivyo, Mungu haji tu kuwa mbali nasi. Anatamani kujulikana. Alijifunua kwa watu kwa njia mbalimbali katika historia, kupitia manabii, matendo yake ya miujiza, na mwisho kabisa kupitia Yesu Kristo, ambaye ni mfano halisi wa Mungu asiyeonekana (Wakolosai 1:15).
Kuhusu anatendaje kazi, Mungu hufanya kazi kwa njia tatu kuu:
1. Kupitia Neno lake (Biblia): Neno lake linafundisha, linaongoza, na linafichua mapenzi yake.
2. Kupitia Roho Mtakatifu: Roho wake huleta mwongozo wa ndani, huongoa dhamiri, huponya, na kuwafariji wale wanaomwamini.
3. Kupitia Yesu Kristo: Huyu ndiye njia pekee ya kumjua Mungu kikamilifu. Yesu alisema: “Yeyote aliyeniona mimi, amemwona Baba.” (Yohana 14:9)
Mungu hafanyi kazi kwa jazba wala kwa mhemuko. Hana ukabila wala upendeleo. Ana haki, upendo, rehema, na hukumu kwa usawa. Ana huruma kwa wanyenyekevu na anaadhibu uovu kwa haki. Hakosei, hachelewi, na hasahau.
Watu wengi huona sura ya Mungu kupitia dini, mila, au uzoefu wa maisha, lakini njia ya kweli ya kumjua ni kumpokea Yesu Kristo, ambaye ndiye daraja kati ya Mungu na mwanadamu (1 Timotheo 2:5).
Yeyote anayeamini Kuna shetani ,moto na maisha ya mbingu huyo ndiye ana matatizo ya kisaikolojia.Kwanza, Kua na adabu
Mimi sii maskini wala sikuzaliwa maskini.
Mungu ninaemuabudu hana hayo mambo. Mimi nadhani una tatizo la kisaikolojia, ukipata msaada mapema hatutakupoteza
Ndio maana hata MUNGU wenu wa kwenye Biblia anawaambia kuwa mnaangamia kwa kukosa maarifaKwanza, Kua na adabu
Mimi sii maskini wala sikuzaliwa maskini.
Mungu ninaemuabudu hana hayo mambo. Mimi nadhani una tatizo la kisaikolojia, ukipata msaada mapema hatutakupoteza
Yesu atakuokoa sio muda mrefu utakua mtumishi wa Bwana Yesu.Unaweza kumwelezea Mungu nje na vitabu vya dini?...au specifically nje ya biblia...bila ya hizo dini za kikoloni isingekuwa na Mungu...ninachoamini Mungu yupo ila sio huyu wa kwenye vitabu vya dini
Yesu Kristo anakupenda sana sio muda mrefu atakuokoa nawe utakua huru ukiijua kweli.Yeyote anayeamini Kuna shetani ,moto na maisha ya mbingu huyo ndiye ana matatizo ya kisaikolojia.
Ujinga unakusumbua weweNdio maana hata MUNGU wenu wa kwenye Biblia anawaambia kuwa mnaangamia kwa kukosa maarifa
Ataniokoaje mtu ambaye anadeka kwa baba ake Mbinguni,hataki kutoka kwao ajitafute kama wanaume wengine.mtu alikosa mpka pesa ya kutolea mahari.Yesu Kristo anakupenda sana sio muda mrefu atakuokoa nawe utakua huru ukiijua kweli.