Ukweli mchungu: Ukifuatilia sana mambo ya dini, utabaini kuwa "Dini ni kwa ajili ya watoto"

Ukweli mchungu: Ukifuatilia sana mambo ya dini, utabaini kuwa "Dini ni kwa ajili ya watoto"

Kwa hiyo hutaki kufanya kazi ya Bwana?,hutaki kumletea Kristo Bwana wenu kondoo zizini make?..fanya kazi ya Bwana ukarithi Yerusalemu mpya.
Mentality yako sii ya kutumiwa comments ukaelewa, unahitaji utulivu, utayari na darasa. Sii hapa
 
Kwa sababu umekosa hoja .soma Isaya 41:21 ,njoo ulete hoja hapa unishawishi niwe wa Imani yako .
Huwez kuelewa kitu kupitia hapa, maswala ya dini sii ya kubishana. Kutana ana kwa ana na mtu ambae anaweza kukushawishi. Anonymous IDs zinasababisha watu wasitake kuelewa humu JF
 
Mleta bandiko uko sawa mia mia,bible inasema yesu ni MUNGU,sasa mtu unashangaa,kama ni MUNGU kaumba wanadamu halafu anaadhibiwa na wanadamu aliowaumba?
Kweli dini ni kwa ajili ya watoto
 
ni WAPUMBAVU pekee ndo watakaokubaliana na mambo ya DINI,...."divide and rule" theory
 
I have sad case study my dad ni former pastor na anaitikadi kali ya kipentecoste but finally anaugua psychosis imetugharimu kama familia since that time mimi na dini hapana kwa kweli.
Nimekuwa Pentecoste kwa muda mrefu, nimeyaona mengi, nimejifunza mengi, lakini bado nilikuwa na maswali mengi sana, lakini baada ya kuwaza zaidi ya box nimeona kuna ubinadamu mwing katika kuabudu Mungu, na Mungu ni dhana pana sana.
Ukisema Mungu hii ni jamii yenye watawala ambao walikuwepo duniani waka-influhence binadamu na kuondoka kuwaachiaa mfumo unawawadumaza, mfumo tegemezi.
MUUMBA yupo ametulia na haitaji ibada yako kwa kuwa hana kazi nayo. Miungu ndio inataka ibada.
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Imani yako ni haba, unaonaje ukakutana na mchungaji/mtumishi ana kwa ana
Haina shida mtumish ila ukimzingatia mleta Uzi Kuna ukwel ndani yake kuwa dini ni kwa ajili ya watoto.kijana wa kiume wa MUNGU wa wakristo (Yesu)anasema "waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana ufalme wa mbingu ni wao".kwa hiyo inampasa mtu awe na akili ya kitoto ili aurithi ufalme.
 
Huo mstari hautafsiriwi hivyo mkuu

Unahitaji kua na roho mtakatifu akufunulie uelewa wa masomo ya kwenye biblia. Sii kwa utashi wako
 
Huo mstari hautafsiriwi hivyo mkuu

Unahitaji kua na roho mtakatifu akufunulie uelewa wa masomo ya kwenye biblia. Sii kwa utashi wako
🤣😂😂Ko roho mtakatifu kwa nin asiwaingilie watu wajue neno lake?,ko roho mtakatifu ndio anawafundisha mtofautiane kimaandiko na kuwa na madhehebu mengi?
 
Dini Inahitaj uwe mtoto,unakubali vitisho na ahadi za kipuuzi tu.
 
Au watu wazima wenye akili za kitoto ( The gullible ones).

Story za dini hizi za wazungu na waarabu ni utoto utoto tu.

Ni ajabu sana kuona mtu mzima bado ana amini kwa dhati kuhusu mambo ya dini.

Baba zima bila aibu eti linaongea kuhusu adhabu ya kaburi au moto wa jehanamu etc.

Ma Sheikh, walimu wa madrassa, wachungaji, maaskofu na mapadri wenyewe wanajua kwamba dini ni story za kutungwa na wajanja ndio maana kila siku wanalawiti watoto kwenye Sunday schools na madrassa.

Even Steve Wonder can see very clearly kwamba hizi dini zilitungwa na watu wenye akili ili wa wa control wajinga wengi.

Na walijua kwamba baada ya siku nyingi watu watapata maarifa na kujua janja janja Yao ndio maana wakatengeneza excuse kwamba " Siku za mwisho watu watamuasi Mungu"🤣🤣🤣.

Watu wa dini ni kama vile akili zao zimehama kabisa and I feel so shameful to be associated with them.

Just imagine, what is going on in Israel vs Iran.

Kuna watu na akili zao kabisa wanafurahia na kuwa proud kuona watu wa pande Fulani kwenye Vita hivyo wameuwawa.

Wakristu wanafurahia kuona wairan wakiuwawa na wa Islam wanafurahia kuona wa Israel wakiuwawa. Umeona jinsi watu hawa walivyo wendawazimu?

Halafu walivyo kuwa wendawazimu unaweza ukashangaa vita hiyo ikasambaa dunia nzima🤣🤣🤣🤣 Utoto raha nyie

Ukichunguza matendo ya watu wa dini zote mbili utagundua u wendawazimu mwingi sana kuanzia jinsi wanavyo abudu pamoja na mambo wanayo yaamini.

Wa Tanzania tusanuke. Mafundisho ya hizo dini mlizo letewa ni kwa ajili ya watoto na sip watu wazima kama nyie.

Kwa kusema hivyo, simaanishi kwamba Mungu hayupo.

Mungu yupo Ila hawa watu wa dini ndio wamemdifine vibaya ( Walivyo kuwa vilaza sasa utasikia wana comment, ungejuaje kama Mungu yupo isingekuwa kwa sababu ya dini?)
We created man from an extract of clay. Then We made him as a drop in a place of settlement [the womb]. Then We made the drop into a clinging clot (‘alaqah), and We made the clot into a lump [mudghah], then We made out of that lump bones and clothed the bones with flesh. Then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.”
(Qur’an 23:12–14)
 
Huyu Allah anayebagua watu anawaita wengine makafir
 
Back
Top Bottom