Ukweli mchungu: Ukifuatilia sana mambo ya dini, utabaini kuwa "Dini ni kwa ajili ya watoto"

Kwa hiyo hutaki kufanya kazi ya Bwana?,hutaki kumletea Kristo Bwana wenu kondoo zizini make?..fanya kazi ya Bwana ukarithi Yerusalemu mpya.
Mentality yako sii ya kutumiwa comments ukaelewa, unahitaji utulivu, utayari na darasa. Sii hapa
 
Kwa sababu umekosa hoja .soma Isaya 41:21 ,njoo ulete hoja hapa unishawishi niwe wa Imani yako .
Huwez kuelewa kitu kupitia hapa, maswala ya dini sii ya kubishana. Kutana ana kwa ana na mtu ambae anaweza kukushawishi. Anonymous IDs zinasababisha watu wasitake kuelewa humu JF
 
Mleta bandiko uko sawa mia mia,bible inasema yesu ni MUNGU,sasa mtu unashangaa,kama ni MUNGU kaumba wanadamu halafu anaadhibiwa na wanadamu aliowaumba?
Kweli dini ni kwa ajili ya watoto
 
ni WAPUMBAVU pekee ndo watakaokubaliana na mambo ya DINI,...."divide and rule" theory
 
I have sad case study my dad ni former pastor na anaitikadi kali ya kipentecoste but finally anaugua psychosis imetugharimu kama familia since that time mimi na dini hapana kwa kweli.
Nimekuwa Pentecoste kwa muda mrefu, nimeyaona mengi, nimejifunza mengi, lakini bado nilikuwa na maswali mengi sana, lakini baada ya kuwaza zaidi ya box nimeona kuna ubinadamu mwing katika kuabudu Mungu, na Mungu ni dhana pana sana.
Ukisema Mungu hii ni jamii yenye watawala ambao walikuwepo duniani waka-influhence binadamu na kuondoka kuwaachiaa mfumo unawawadumaza, mfumo tegemezi.
MUUMBA yupo ametulia na haitaji ibada yako kwa kuwa hana kazi nayo. Miungu ndio inataka ibada.
 
Reactions: Sax
Imani yako ni haba, unaonaje ukakutana na mchungaji/mtumishi ana kwa ana
Haina shida mtumish ila ukimzingatia mleta Uzi Kuna ukwel ndani yake kuwa dini ni kwa ajili ya watoto.kijana wa kiume wa MUNGU wa wakristo (Yesu)anasema "waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana ufalme wa mbingu ni wao".kwa hiyo inampasa mtu awe na akili ya kitoto ili aurithi ufalme.
 
Huo mstari hautafsiriwi hivyo mkuu

Unahitaji kua na roho mtakatifu akufunulie uelewa wa masomo ya kwenye biblia. Sii kwa utashi wako
 
Huo mstari hautafsiriwi hivyo mkuu

Unahitaji kua na roho mtakatifu akufunulie uelewa wa masomo ya kwenye biblia. Sii kwa utashi wako
🤣😂😂Ko roho mtakatifu kwa nin asiwaingilie watu wajue neno lake?,ko roho mtakatifu ndio anawafundisha mtofautiane kimaandiko na kuwa na madhehebu mengi?
 
Dini Inahitaj uwe mtoto,unakubali vitisho na ahadi za kipuuzi tu.
 
We created man from an extract of clay. Then We made him as a drop in a place of settlement [the womb]. Then We made the drop into a clinging clot (‘alaqah), and We made the clot into a lump [mudghah], then We made out of that lump bones and clothed the bones with flesh. Then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.”
(Qur’an 23:12–14)
 
Huyu Allah anayebagua watu anawaita wengine makafir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…