Ukweli Mchungu: Ukitaka Mafanikio Makubwa, Usiwe 'Fair'

Hujui maana na neno fair
"Fair"
 
Penye kafara fafanua vizuri hapo boss
Kuna vitu ambavyo unavipenda sana, ambavyo ni kikwazo kwako kupata mafanikio unayoyataka.
Unapaswa kuviacha vitu hivyo (kutoa kafara) ili uweze kufanikiwa.
Siyo zoezi rahisi kwa sababu ni vitu umeshavizoea, ndiyo maana naita kutoa kafara, ni kitu kitakachokuumiza.
 

Kwa ufupi ni kukubali kupoteza baadhi ya vitu unavyovipenda kufanikisha jambo litakalokupatia manufaa ya muda mrefu na ya kudumu.
 
Kwa kweli andiko limetulia sana. Pia limenivua nguo maana hatua zote zimenigusa moja kwa moja
 
fair 45% vs unfair 55%. Usipokuwa fair total pia unaweza kukufelisha mazima mkuu.
 
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Atoae nguvu za kupata Utajiri ni Mungu tu


Dhana ya kuwahi kuamka na kuchelewa kulala kwamba itakufanya usiwe tajiri inaonyesha hujui mipangilio

Jitihada haizid kudra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…