St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Ahsante kwa muongozo...
Umesahau kitu
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa muongozo...
Utatoa kafara?Ahsante sana.
Ndicho alifanya MwendazakeUsiwe fair
Hujui maana na neno fair
"Fair"Umeongea vitu vya msingi sana, hongera kwa hilo.
Tatizo langu bado natafakari jinsi ulivyochagua kutumia neno fair, sifikirii ni mahali sahihi ulivyolitumia.
Kutokua fair, inawezakua hauheshimu au kulinda haki za wengine.
Mie nikifanya kazi masaa 14 ndani ya yale 24 sioni kama sijawa fair kwa mtu.
Kuna mahali niliwahi kusoma, hakuna njia moja ya uhakika kufikia mafanikio, lakini njia ya kuaminika na ya uhakika ya kutofanikiwa, ni kujaribu kumfurahisha kila mtu.
"Fair"
Kuna vitu ambavyo unavipenda sana, ambavyo ni kikwazo kwako kupata mafanikio unayoyataka.Penye kafara fafanua vizuri hapo boss
Kuna vitu ambavyo unavipenda sana, ambavyo ni kikwazo kwako kupata mafanikio unayoyataka.
Unapaswa kuviacha vitu hivyo (kutoa kafara) ili uweze kufanikiwa.
Siyo zoezi rahisi kwa sababu ni vitu umeshavizoea, ndiyo maana naita kutoa kafara, ni kitu kitakachokuumiza.
Karibu mkuu.Nimepata somo la bure kabisa!
Mkuu, umeisoma makala na kuielewa vizuri?fair 45% vs unfair 55%. Usipokuwa fair total pia unaweza kukufelisha mazima mkuu.