Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi bila kukumbuka kuwa Mwanaume anatulia na mke mmoja anapofikisha angalao miaka 60 hivyobasi namna ya kuenjoy mahusiano na ndoa zao wakubali waume zao kurusha risasi nje pia wasitake warushiwe wao tu manake risasi zitawachakaza sana
Miaka 60 kurudi nyuma ni vigumu sana Mwanaume kutulia na mke mmoja kwasababu mwili bado wa moto simu muda wote inaita
Ushauri wangu kwa akina dada wanaotaka kuolewa na waume wa peke yao wasubiri hao Wanaume wazeeeke angalao miaka 60 kwasababu kinyume na hapo ni kujitaftia tu stress na magonjwa ya msongo wa mawazo
View attachment 3038242