Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi

WE KIBOKO, KWAHIYO ANA TIMU YAKE YA KUMWAZIBU KAITULIZA KWANZA
 
Presha za kupanda, visukari na tezi dume hazijachangia kufupisha hii miaka iwe kabla ya 60??
 
Hivi hata huko ulaya wanaoa wake wengi? china ukizaa na mwanamke zaidi ya mmoja nasikia ni kesi ikibainika
 
Hivi hata huko ulaya wanaoa wake wengi? china ukizaa na mwanamke zaidi ya mmoja nasikia ni kesi ikibainika
Wanawake wa Marekani hawafai kuoa wanaishi maisha ya dada poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…