Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi

Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi bila kukumbuka kuwa Mwanaume anatulia na mke mmoja anapofikisha angalao miaka 60 hivyobasi namna ya kuenjoy mahusiano na ndoa zao wakubali waume zao kurusha risasi nje pia wasitake warushiwe wao tu manake risasi zitawachakaza sana.

Miaka 60 kurudi nyuma ni vigumu sana Mwanaume kutulia na mke mmoja kwasababu mwili bado wa moto simu muda wote inaita.

Ushauri wangu kwa akina dada wanaotaka kuolewa na waume wa peke yao wasubiri hao Wanaume wazeeeke angalao miaka 60 kwasababu kinyume na hapo ni kujitaftia tu stress na magonjwa ya msongo wa mawazo.

1000004653.jpg
 
Kufuli inafungwa kuanzia kwenye miaka 60 na kuendelea, hapo sasa kama ni mke amepata mume wa peke yake
1000002880.jpg
 
Kwahiyo mkiachwa ndio yatadumu? Mbwiga kweli nyie.!!
 
Sio wewe umekream maisha tatizo . Hujui mwanaume anakeraje mwanamke kama unaye mtu tulia . Usipende madharau, kejeli , hasira na matusi na vipigo nenda katombee uje kimya kimya usije na usumbufu na majigambo .
Maana hukumkuta mkeo bila bikra so anatimu yake kaamua kuituliza kwanza maana anakuheshimu jichanganye. Sasa utalia mwenyewe
 
Back
Top Bottom