Precision is better than speedUtakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.
Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.
Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.
Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.
Life is how you make it, usilazimishe life style yako, ionekane taking, ya, maana kuliko life style za wengine,Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.
Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.
Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.
Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.
Huko ulikotoka ndo wale wanao wa-namna gani na mbwa?haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko
Punguza hasira.Life is how you make it, usilazimishe life style yako, ionekane taking, ya, maana kuliko life style za wengine,
Upo Dubai, unakula bata, una watoto bongo? Una mume bongo? Anasubili umpatie maradhi!? Kwenda Dubai vacation, kwako ni big deal kiasi hicho? Sister vitu vya kawaida Sana hivyo! What is ur endgame baada ya kufika 40+? Uta kuwa hauna mvuto tena, wapo watoto wa, 2000 watatake over!
imetumika sana aisee... km zote hizo...!!Kuna tofauti kubwa kati ya K ya mdangaji na ya wife material View attachment 3435077