Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,674
- 8,313
Hii ni hatari mkuu, niliwahi ona moja ina 600,000+, ilinunuliwa zero km, ikagonga hizo namba bongo, ilifika ikawa inakwenda 4km/l, muonekano sasa...ilikuwa coaster!Kuna tofauti kubwa kati ya K ya mdangaji na ya wife material View attachment 3435077
- Umri wake, miaka 8 tu ila daaah.
Kisha nikaiona moja 109, ina km humo humo, ila inatazamika.
Nikajifunza, kumbe uchakavu unategemea na matumizi zaidi kuliko umri.