Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.

Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.

Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.

Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.

Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?

Muhimu tujali afya zetu tu.
Wewe utakua ni pepo!..Una hamasisha wanawake wenzako wadange
maisha mazuri ni kukojolewa na watu tofauti tofauti ili uishi

Stress za Maisha na kupata ndoa zitakumaliza
 
Hakuna tofauti.
Naweza mimi nikawa na K tamu na yenye mvuto na mnato kuliko za hao wake zenu majumbani
Hakuna k tam ya malaya. Kiukweli huwa mapana na hayana ladha wasukuma tunasema masouku.
Kwa sababu mda wote liko wazi so misuli imelegea sababu ya kutumila sana tena kwa size tofauti tofauti. Lakini pia mwanamke malaya hana hisia na mwanaume, yeye anachojua ni kupanua na kuingiziwa tu
 
Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.

Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.

Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.

Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.

Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?

Muhimu tujali afya zetu tu.
Kwahiyo mkuu ndio kipimo cha maisha bora?

Dah inasikitisha sana.
 
Definition Yako ya maisha mazuri ni ipi?
Kwenda Dubai kutumika tena katukataza kumuhoji katumikaje. Pili kujenga nyumba baada ya kutumika ambapo hataki tumuhoji anatumikaje, tatu kumiliki biashara huria ya kutumika ambapo hataki ahijiwe anatumikaje ambayo kailasimisha na kutamba kuwa yeye naye ni miongoni mwa wafanyabiashara wakubwa na tatu anamiliki usafiri.

Kwake yeye ndio mafanikio anayoyasema na anataka wanawake dunia nzima waishi kwa kumuiga na kufanikiwa kama yeye.

Dah, mi nawatoto wa kike. Kama mzazi mwenye watoto wa kike kanifedhehesha sana. Sijui angemueleza mafanikio haya Baba yake angejisikiaje.

Inasikitisha sana.
 
Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.

Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.

Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.

Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.

Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?

Muhimu tujali afya zetu tu.
Kwamba aijalishi umetumikaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Msisahau kumeza ARV.
Mtateseka hadi kifo.
Ukimwi unawatesa sn.
 
Back
Top Bottom