uwekezaji katika K sioUtakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.
Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.
Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.
Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.
Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?
Muhimu tujali afya zetu tu.
Kama ulichoandika unamaanisha basi nimekushusha vyeo sana 😂Hapana.Nampenda mume wangu lakini.japo hilo lina ukweli😃😃
I don't give a fvckKama ulichoandika unamaanisha basi nimekushusha vyeo sana 😂
Intelligent businessman huyu alitaka akufanye side chick(danga) 😂
Anasema ameolewa na anaunga mkono hoja halafu anataka kuwa boss lady, hafai hafai hafai 😂I don't give a fvck
Nili mpiga kibuti kitambo, j ana tosha kabisaAnasema ameolewa na anaunga mkono hoja halafu anataka kuwa boss lady, hafai hafai hafai 😂
Miss J anatosha kabisa 😂
Khalas.Nili mpiga kibuti kitambo, j ana tosha kabisa
Wataalam kama nyue mnahitajika sana humu, kufanya rejea na mapitio yote ili kuhakiki ukweli wa mtu husika.😅Sema jf watu ni wasahaulifu sana
Mara hii ushajenga
Una gari na nini vile umesema??
Kweli bado nauona msongo wa mawazo
' Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua
Ewaaa! Someone finally said the truthUtakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.
Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.
Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.
Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.
Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?
Muhimu tujali afya zetu tu.
Sikuizi Mimi mgumu sana kujipinda kuandika au kutoa ushauri kwa mtu bila kurejelea nyuzi za nyuma,. Maana utakuta mtu Leo anasema anatafuta mke kesho anasema yeye single mama anatafuta mume yaani full tafrani,.Wataalam kama nyue mnahitajika sana humu, kufanya rejea na mapitio yote ili kuhakiki ukweli wa mtu husika.😅
Kumbe mtu mwenyewe anapitia msongo wa mawazo, hata hilo bandiko lake linaonyesha hivyo.
Ipo siku nita kuchapa jdSasa kwani unavyomfanyia huo uchafu unakuwa umembaka au mmekubaliana wenyewe, ninyi ndio mnaojifariji na kauli kama hizi kwa kudhani huwa mnawakomoa kumbe wenzenu nao wanaenjoy, maana nina imani hakuna mwanamke anayekubali kufanyiwa hayo ikiwa hapati chochote toka kwa huyo mwanaume
Eeeh kuna shida mahali.Sikuizi Mimi mgumu sana kujipinda kuandika au kutoa ushauri kwa mtu bila kurejelea nyuzi za nyuma,. Maana utakuta mtu Leo anasema anatafuta mke kesho anasema yeye single mama anatafuta mume yaani full tafrani,.
Imagine ni 25 January tu alitoka kutueleza hayo..
Mental health..