Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

Unaliwa kinyeo au?
 
Shida hela za laana hazidimu Kuna wenzio now uwanja wa fisi wanajiuza kwa buku 2 na ni watu wazima kinoma we endelea ku enjoy ila juwa ukishachuja unarudi sinza nako ukichunda tutakukuta kimboka ukinjunda zaidi ndio unakumbuka kumrudia Mungu😁😁😁😁
 
Aisee😅
 
Ndoa ni jambo bora kuliko uasherati, japo sija oa ila I understand it's importance kwakweli.

ndoa si ngono pekee ni muunganiko wa watu wawili wenye kujenga familia, mahusiano na kesho Yao.

Uasherati ni one night stand iliyo pewa jina hilo, ili kuficha aibu zake.

Waza baada ya siku ndefu, una rudi nyumbani na kukuta bibi mstaarabu kama Angel Nylon,binti kiziwi kwa nyumba, wapokelewa kwa salamu kisha wajuliwa hali na kubadilishana mawazo.

one night stand haiwezi kukupa hilo, no matter how big and excited ita kuchosha tu.
au Shimba ya Buyenze, Eyce, Kiranga nadanganya?
 
Hongera. kama udangaji unalipa, ufungulie akaunti kabisa.
 
Lakin Kichwani ushakua kichaa
Sijawai kuona Dada poa ambae ana akili timamu
 
Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.
The most important is peace of mind.
mali, fedha na dhahabu si kitu km u hv no peace of mind. Acha kujifariji hakuna Malaya mwenye utulivu kichwani!!
 
Mnataka kufanya umalaya uonekane kitu cha kawaida sio!?
 
Tusomee PH level ya K yako kwanza
 
Kuna wana wanapiga kavu huyu, afu mkinza kuumwa mnalitia taifa hasara hizo ela zingeelekezwa kwenye miradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…