Ukweli mchungu: Wahafidhina wa CHADEMA mjiandae kisaikolojia

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Mwenzako akinyolewa we tia maji, ndio wahenga walisema.

Leo tumeshuhudia jambo moja la ajabu sana kwenye historia ya Tanzania, Zitto Kabwe na chama chake pamoja na kutuaminisha kuwa watu walimwaga damu kwa ajili ya Act wazalendo amelainika na kukubali kujiunga kwenye SUK.

Dalili zinaonyesha kuwa hata Chadema watawasamehe na kuwaruhusu wanamama waliofanya uhuni na kusepa hadi Dodoma kisha kula kiapo ili watinge mjengoni

Baada ya wanamama hawa kuruhusiwa kutinga mjengoni,je wahafidhina waliopiga deki mabarabara ili Lowassa apite baadae akawataosa,sasa bado ni wanaCdm kindakindaki watajisikia vipi? Watabaki Cdm? Au ndio kila mtu atakula kona?

Fikiria wale watu ambao Zitto alikuwa akitoa orodha ya majina kuwa wamepigwa risasi na kufariki huko Zanzibar,leo ndugu zao wanamawazo gani juu ya wanasiasa wa BongoTz?
 
Mwenzako akinyolewa we tia maji, ndio wahenga walisema....
Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,

Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.

Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.

Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
 
Kwani we unatakaje? Kwani haiwezekani kushawishi mshikamano badala ya kuwaongezea wapinzani hasira? We need them wawe upande wa TZ, hawawezi kuwepo kwa kuwananga.
 
Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!, Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango...
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ndo nini?

ACT baada ya kufanya tathmini na kuona kwa sasa ili kuisaidia TZ ni lazima kushirikiana na serikali.

Misemo ya mikate na chai sijui ulaini haina maana. Inachochea hasira kwa wapinzani.
 
Kwani we unatakaje? Kwani haiwezekani kushawishi mshikamano badala ya kuwaongezea wapinzani hasira? We need them wawe upande wa TZ, hawawezi kuwepo kwa kuwananga.
Ni ushauri tu wawe tayari kuyakubali matokeo kisaikolojia, maana ni ngumu kupokea matokeo ya namna hii.
 
Wapinzani ni binadamu. Wataelewa na kutoa ushirikiano. Japo wapo wachache watakaokua wabishi na wapingaji ila still wasizidishiwe hasira kwa kuwananga. RAISI NI JPM NA CCM NDO KINATAWALA HIYO INATOSHA.
 
Hili haliondoi dhana ya kwamba mauaji na ubabe usio na tija ulifanyika kipindi chote cha uchaguzi visiwani Z'bar.

Ni kama mauaji ya mwembechai, kuna watu bado wanajutia.
 
Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Asiyekubali kushindwa sio mshindani? "Ushindani upi mzee wangu
 
Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P

Uteuzi bado hawajakuona..?
 
Wapinzani ni binadamu. Wataelewa na kutoa ushirikiano. Japo wapo wachache watakaokua wabishi na wapingaji ila still wasizidishiwe hasira kwa kuwananga. RAISI NI JPM NA CCM NDO KINATAWALA HIYO INATOSHA.
Ahaaa, nani anawaongezea hasira? Wanajua rais ni JPM na Ccm ndio chama tawala, hapa tunawaweka sawa wasijekuvurugwa kiakili. Maana wamewasimamisha ubunge akina Halima wameona kama wameshinda wakati ngoma bado.
 
Hakuna mpinzani wa kweli!
Kwa siasa hivi kuna haja ya vijana wetu kukaa na kutathimini ni chama gani na mwanasiasa yupi wa kuamini. Haiwezakani rafikiyo kapigwa risasi ama ukapata ukilema baadaye eti tunashirikiana.
 
Back
Top Bottom