Chadema wanaendeshwa na kigogo,maria sarungi na fatma karume twitter!
Ndio.
Kubwa jinga jikite kwenye mada, akina mama wataruhusiwa kurudi mjengoni,what next? Acha upumbavu wako.Pascal Mayala = NJAA.
Haamini kama teuzi zimeishaaPaskoooooo!! Bado unapambana. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nilipiga kura na kurudi home najua kulikuwa na uchaguzi.
Nimecheka kwa nguvu, eti cdm inaendeshwa huko Twitter. Ccm inaendeshwa na tiss?
Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Kwenye suala la kina halima hakuna anaye shindana na chadema. Ni mambo yao ya chama.. Labda spika na mahakama au msajili ndo anaweza kuingilia na kila mmoja ana mipaka hakuna anayeshindana nao. Hao wanaojiona wameshinda labda ni wale wapiga kelele mitandaoni.Ahaaa, nani anawaongezea hasira? Wanajua rais ni JPM na Ccm ndio chama tawala, hapa tunawaweka sawa wasijekuvurugwa kiakili. Maana wamewasimamisha ubunge akina Halima wameona kama wameshinda wakati ngoma bado.
hahhah nasikia kigogo2010 ndo amiri jeshi wa majeshi ya nyuma ya key board huko twitaChadema wanaendeshwa na kigogo,maria sarungi na fatma karume twitter!
Marekani sio, sawaNdio.
Mkuu umesema kweli, nikiangalia baadhi ya posts zako siku hizi nalazimiika kuamini kauli yako 'hakuna mkate mgumu mbele ya chai'.Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Naona unaogopa kupelekwa kwenye kamati ya maadili ya bunge saa hizi wewe hata ikiwa nyeusi wasema ni nyeupeMkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Ndiyo maana huwa siwaamini wanasiasa. Huwatumia wananchi kama ngazi au kondomu kufanikisha malengo yao kisiasa hata ikibidi kwa gharama yoyote hata kifo ikibidiMwenzako akinyolewa we tia maji, ndio wahenga walisema.
Leo tumeshuhudia jambo moja la ajabu sana kwenye historia ya Tanzania, Zitto Kabwe na chama chake pamoja na kutuaminisha kuwa watu walimwaga damu kwa ajili ya Act wazalendo amelainika na kukubali kujiunga kwenye SUK.
Dalili zinaonyesha kuwa hata Chadema watawasamehe na kuwaruhusu wanamama waliofanya uhuni na kusepa hadi Dodoma kisha kula kiapo ili watinge mjengoni
Baada ya wanamama hawa kuruhusiwa kutinga mjengoni,je wahafidhina waliopiga deki mabarabara ili Lowassa apite baadae akawataosa,sasa bado ni wanaCdm kindakindaki watajisikia vipi? Watabaki Cdm? Au ndio kila mtu atakula kona?
Fikiria wale watu ambao Zitto alikuwa akitoa orodha ya majina kuwa wamepigwa risasi na kufariki huko Zanzibar,leo ndugu zao wanamawazo gani juu ya wanasiasa wa BongoTz?
Kwenye siasa hayo ni mambobya kawaida saana ila kwa fikra zenu mnadhaani haiwezekani. Hata kule kenya mnaposifia watu walk kufa zaidi ya 40 lakini odinga na kenyata ni kama mtu na mdogo wake,Kwa siasa hivi kuna haja ya vijana wetu kukaa na kutathimini ni chama gani na mwanasiasa yupi wa kuamini. Haiwezakani rafikiyo kapigwa risasi ama ukapata ukilema baadaye eti tunashirikiana.
TISS ni moja ya idara ndani ya serikali inayosimamiwa na CCM. Kigogo ni nani huko CHADEMA anawatisha mpaka mnashindwa kufanya mambo kwa weledi!
Kamati kuu itawasamehe,kwa hiyo tunawapa alaert kama jamaa zetu wawe wapole wasije kunywa sumu.Kwenye suala la kina halima hakuna anaye shindana na chadema. Ni mambo yao ya chama.. Labda spika na mahakama au msajili ndo anaweza kuingilia na kila mmoja ana mipaka hakuna anayeshindana nao. Hao wanaojiona wameshinda labda ni wale wapiga kelele mitandaoni.
Anither Crap from the hungryMkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,