Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,Mwenzako akinyolewa we tia maji, ndio wahenga walisema....
Kwa siasa hivi kuna haja ya vijana wetu kukaa na kutathimini ni chama gani na mwanasiasa yupi wa kuamini. Haiwezakani rafikiyo kapigwa risasi ama ukapata ukilema baadaye eti tunashirikiana.Chadema wanaendeshwa na kigogo,maria sarungi na fatma karume twitter!
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ndo nini?Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!, Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango...
Ni ushauri tu wawe tayari kuyakubali matokeo kisaikolojia, maana ni ngumu kupokea matokeo ya namna hii.Kwani we unatakaje? Kwani haiwezekani kushawishi mshikamano badala ya kuwaongezea wapinzani hasira? We need them wawe upande wa TZ, hawawezi kuwepo kwa kuwananga.
Chama kimekuwa Cha twitterChadema wanaendeshwa na kigogo,maria sarungi na fatma karume twitter!
Wapinzani ni binadamu. Wataelewa na kutoa ushirikiano. Japo wapo wachache watakaokua wabishi na wapingaji ila still wasizidishiwe hasira kwa kuwananga. RAISI NI JPM NA CCM NDO KINATAWALA HIYO INATOSHA.Ni ushauri tu wawe tayari kuyakubali matokeo kisaikolojia, maana ni ngumu kupokea matokeo ya namna hii.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani? "Ushindani upi mzee wanguMkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Chama kimekuwa Cha twitter
Ahaaa, nani anawaongezea hasira? Wanajua rais ni JPM na Ccm ndio chama tawala, hapa tunawaweka sawa wasijekuvurugwa kiakili. Maana wamewasimamisha ubunge akina Halima wameona kama wameshinda wakati ngoma bado.Wapinzani ni binadamu. Wataelewa na kutoa ushirikiano. Japo wapo wachache watakaokua wabishi na wapingaji ila still wasizidishiwe hasira kwa kuwananga. RAISI NI JPM NA CCM NDO KINATAWALA HIYO INATOSHA.
Kwani kulikuwa na uchaguzi mwaka huu?Kwani October 28 hukupiga kura?
Kwa siasa hivi kuna haja ya vijana wetu kukaa na kutathimini ni chama gani na mwanasiasa yupi wa kuamini. Haiwezakani rafikiyo kapigwa risasi ama ukapata ukilema baadaye eti tunashirikiana.