Ukweli mchungu: Wahafidhina wa CHADEMA mjiandae kisaikolojia

Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura
Mimi nilipiga kura na kurudi home najua kulikuwa na uchaguzi.
 
TISS ni moja ya idara ndani ya serikali inayosimamiwa na CCM. Kigogo ni nani huko CHADEMA anawatisha mpaka mnashindwa kufanya mambo kwa weledi!
Nimecheka kwa nguvu, eti cdm inaendeshwa huko Twitter. Ccm inaendeshwa na tiss?
 
Professional rubbish.
 
Ahaaa, nani anawaongezea hasira? Wanajua rais ni JPM na Ccm ndio chama tawala, hapa tunawaweka sawa wasijekuvurugwa kiakili. Maana wamewasimamisha ubunge akina Halima wameona kama wameshinda wakati ngoma bado.
Kwenye suala la kina halima hakuna anaye shindana na chadema. Ni mambo yao ya chama.. Labda spika na mahakama au msajili ndo anaweza kuingilia na kila mmoja ana mipaka hakuna anayeshindana nao. Hao wanaojiona wameshinda labda ni wale wapiga kelele mitandaoni.
 
Mkuu umesema kweli, nikiangalia baadhi ya posts zako siku hizi nalazimiika kuamini kauli yako 'hakuna mkate mgumu mbele ya chai'.

Vv
 
Naona unaogopa kupelekwa kwenye kamati ya maadili ya bunge saa hizi wewe hata ikiwa nyeusi wasema ni nyeupe
 
Ndiyo maana huwa siwaamini wanasiasa. Huwatumia wananchi kama ngazi au kondomu kufanikisha malengo yao kisiasa hata ikibidi kwa gharama yoyote hata kifo ikibidi
 
Kwa siasa hivi kuna haja ya vijana wetu kukaa na kutathimini ni chama gani na mwanasiasa yupi wa kuamini. Haiwezakani rafikiyo kapigwa risasi ama ukapata ukilema baadaye eti tunashirikiana.
Kwenye siasa hayo ni mambobya kawaida saana ila kwa fikra zenu mnadhaani haiwezekani. Hata kule kenya mnaposifia watu walk kufa zaidi ya 40 lakini odinga na kenyata ni kama mtu na mdogo wake,
Sasa cha ajabu ni nini?
Washabiki ninyi ndo mnatakiwa kutumia akiri sawasawa, unapambana lakini una angalia maisha yako na kutoingia kwenye matatizo.
 
TISS ni moja ya idara ndani ya serikali inayosimamiwa na CCM. Kigogo ni nani huko CHADEMA anawatisha mpaka mnashindwa kufanya mambo kwa weledi!

Kigogo ni mwananchi mpenda haki.
 
Kamati kuu itawasamehe,kwa hiyo tunawapa alaert kama jamaa zetu wawe wapole wasije kunywa sumu.
 
Anither Crap from the hungry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…