Hatari ! Ndio maana anawaburuta kama anavyotaka?
Acha kujifaraghaua, akina mama 19 wataruhusiwa na Cc kutinga mjengoni, utabaki kuwa kindakindaki? Maana ulideki mabarabara Edo akakuacha solemba.Safari hii itakuwaje?Anamburuta nani? Ww ndio umeleta habari zake humu, sisi tunajimudu kisiasa bila msaada wowote. Sisi hatushoboki naye, labda ww ndio maana unaleta habari zake humu.
Jiandae kisaikolojia.ACT siyo CHADEMA, japo vyote ni vyama vya upinzani. Maamuzi ya CHADEMA yalikwishafanyika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za Tz ni Shida ,wanasiasa wengi wa upinzani watafika bei mpaka kufikia 2024.Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Acha kujifaraghaua, akina mama 19 wataruhusiwa na Cc kutinga mjengoni, utabaki kuwa kindakindaki? Maana ulideki mabarabara Edo akakuacha solemba.Safari hii itakuwaje?
Wewe hapa sura yako iko wapi?Kigogo anawatishia nyau kupitia vidole ilihali hajawahi onekana sura yake!
Uteuzi uteuzi pole ila subila yata hero mmebaki Wewe na bashite vumilia tu Mungu wa ote banaMkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Hapo ndipo inapokosea Pascal. Una ushahidi gani usio na shaka kiwa chama chako kilishinda au chadema kilishindwa uchaguzi mkuu uliopita ? Moja kati mambo mabaya kabisa ni mtu kumsaidia mtesi wake kumtesa kwa kushirikiana naye. Just imagine mbakaji amemchania mtu nguo tayari kumbaka na wewe unamshauri mwathirikaatoe ushirikiano yaishe. Nawashauri chadema kutoshirikiana na waliojitangazia ushindi kabisa. Kushiriana nao ni usaliti kwa waliksema wameuawa, wameumizwa na walioshitakiwa, tena kwa uongo, kwasababu za kisiasa. Bora kufa mkweli kuliko kuishi mnafiki.Mkuu Idugunde , hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Uamuzi wa ACT kujiunga GNU is the best decision, Chadema waache ujinga!,
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Hongera sana ACT, hizi ndio siasa za kweli.
P
Kisiasa ni kwamba hao waliokufa na kuumizwa lengo lilikuwa ni ili viongozi wao wapate madaraka, wamewapigania kwa jasho na damu ili washike madaraka na ndiyo hao wameyapata sasa munalalamika nini? Jifunzeni siasa siyo mkiambiwa tu muingie barabarani mnakubali!Kwa siasa hivi kuna haja ya vijana wetu kukaa na kutathimini ni chama gani na mwanasiasa yupi wa kuamini. Haiwezakani rafikiyo kapigwa risasi ama ukapata ukilema baadaye eti tunashirikiana.
Hakuna mabadiliko chanya kwenye vyama vya upinzani, kisiasa, kuweza kuaminiwa na wapiga kura, hadi hapo viongozi wa upinzani:Mwenzako akinyolewa we tia maji, ndio wahenga walisema.
Leo tumeshuhudia jambo moja la ajabu sana kwenye historia ya Tanzania, Zitto Kabwe na chama chake pamoja na kutuaminisha kuwa watu walimwaga damu kwa ajili ya Act wazalendo amelainika na kukubali kujiunga kwenye SUK.
Dalili zinaonyesha kuwa hata Chadema watawasamehe na kuwaruhusu wanamama waliofanya uhuni na kusepa hadi Dodoma kisha kula kiapo ili watinge mjengoni
Baada ya wanamama hawa kuruhusiwa kutinga mjengoni,je wahafidhina waliopiga deki mabarabara ili Lowassa apite baadae akawataosa,sasa bado ni wanaCdm kindakindaki watajisikia vipi? Watabaki Cdm? Au ndio kila mtu atakula kona?
Fikiria wale watu ambao Zitto alikuwa akitoa orodha ya majina kuwa wamepigwa risasi na kufariki huko Zanzibar,leo ndugu zao wanamawazo gani juu ya wanasiasa wa BongoTz?