UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

Kanisa Katoliki limepita misusuko mingi tena chini ya watawala wenye nguvu mpaka Leo lipo . Sasa hizi stori unazoleta mtoa mada ni za kawaida sana na tumezizoea.
 
hao ni wengine, sio mimi. manabii wa uongo sio mimi. ila ukweli unabaki palepale, salamu maria yenu ni upotofu, kusali kwa kusoma vitabu ni upotofu, kuomba kwa kupitia wafu ni upotofu, mitume wale wa awali hawakufanya hivyo ila ninyi mmepotoka. na hatuwezi kuwaacha hivihivi, tutawasaidia kwa kuwaambia mmepotoka ili mpone.
 
Hata ya msingi, sekondari, chuo kikuu nk ni mapokeo. Kama hutaki elimu, baki na ujinga
Education is the transmission of knowledge, skills, and character traits. - Wikipedia
Huyu sijui kama anaelewa maana ya mapokeo kwa sababu hata biblia ni mapokeo ya vizazi vya manabii na mitume ba sidhani kama anajua hilo kanisa katoliki analolikashifu ndiyo lililotinza mapokeo ya biblia gadi leo hii anakariri vimistari viwili vitatu huwa ninawadharau sana hawa watu kwa kukosa maarifa au sijui ndo ushabiki ili wapate wafuasi kwenye makanisa yao kwa sababu Wana elimu ndogo Sana juu ya historia ya ukristu
Hata ya msingi, sekondari, chuo kikuu nk ni mapokeo. Kama hutaki elimu, baki na ujinga
Education is the transmission of knowledge, skills, and character traits. - Wikipedia
 
Sawa sisi tunamuomba mama take Yesu atuombee halafu wewe nawe muombe Lusekelo au Suguye akuombee

Sawa sisi tunaomba kupitia watakatifu ambao kwako unaita wafu nawe endelea kunena kwa lugha usizozijua

Sawa sisi tutasoma vitabu na wewe soma tenzi za rohoni

Mwisho wa siku kila mtu anajua anachokifanya
 
Na hilo ndilo NENO LA MUNGU....
 
Kanisa Katoliki limepita misusuko mingi tena chini ya watawala wenye nguvu mpaka Leo lipo . Sasa hizi stori unazoleta mtoa mada ni za kawaida sana na tumezizoea.
Wewe ni mkatoliki unayeupenda ukatoliki ila huamini juu ya changamoto za ukatoliki

Soma historia ya kanisa vizuri halafu palipo na uimara shikilia na palipo na madhaifu jifunze, sio lazima kukumbatia kila kitu hata kama bi dhambi, ndani ya kanisa dhambi pia ipo ndiyo maana hata makasisi wetu nao hufanya sakramenti ya kitubio
 
Mkuu


Tangy lini kanisa katoliki no takatifu!!!?Tangu link papa akawa mtakatifu!!?

Hata mapapa waliopita walikua na yao SEMA hayakutangazwa coz ni siri za shirikani !!

Huyu kaonyesha wazi wazi kwasababu ni wakati wa kanisa kuonyesha makucha wazi wazi umefika!!

Hata akija mwingine mambo yatakua hayo hayo!!

Kamaulikua unadhani kanisa na mapapa ni watakatifu ulikua unajidanganya!!!
 
sijawahi kuwaomba hao wawili umetaja, actually I consider them false prophets kabisa. pia siwezi muomba mamake Yesu, kwasababu hata Yesu hakumwomba mamake, na hakutuelekeza tuombe mamake, alisema "ombeni kwa Jina langu", pia hata kanisa la kwanza, kumbuka hata siku ile ya Pentecost Roho aliposhuka (ndipo kanisa halisi lilianza kwa mitume), Maria alikuwa mle ndani pia na alikuwa mmojawapo wa waumini wa kanisa la kwanza pamoja na mitume, kumbuka ni pamoja na Yohana wa Ufunuo ambaye ndiye Yesu alimwambia amtazame mamaye (akimaanisha take care of my mother, na akamwambia pia maria mwangalie mwanao akimaanisha kaa karibu naye). Mitume hawajawahi kumweka maria kama kiumbe tofauti wa kuombwa au njia ya maombi, hakuna hata sehemu moja walioma kwa kupitia maria.

wakatoliki mojawapo ya mstari mnaotumia kudanganywa ni ule Yesu alimwambia Yohana amtazame mamaye...hamjui kuwa Yesu kama kijana yeyote wa kiume katika mwili wa binadamu alimpenda sana mamake, na alijua anaenda kuondoka duniani na mamake angehitaji uangalizi wa mtu wa karibu, ndio maana ya yale maneno mtazame mamayo na akamwambia maria amtazame mwanaye, alimkabidhi maria mikononi mwa Yohana amtunze. ninyi mnasema Yesu alisema tumwombe maria. Katholic mmepotea sana na hilo sio kanisa la mitume, kanisa la mitume kwenye kitabu cha Matendo haliko kama lenu kabisa. chukueni kile kitabu cha Matendo linganisheni namna ya ibada, ishara na miujiza na kila kitu mjitathimini wenyewe kama kanisa lile la mitume ndio hilo la kwenu. Mungu awasaidie muelewe.
 
Kwa hoja yako hiyo mapapa wote 260+ walikuwa wachafu
 
Nipe historia fupi ya kanisa hadi wewe leo kuwa hapo kwenye hiko kikundi chako cha kusali
 
How does that add bread to your table? Do you mean you cannot live happily without Catholics if yourself are holy?
 
Kwa hoja yako hiyo mapapa wote 260+ walikuwa wachafu
Ni wenye akili timamu tu wanaweza wakaona usahihi wa Kanisa Katoliki. Hawa wote wanaojifanya maadui wa kanisa hawataweza kukuelewa. Ni juu yako tu kushika uliposhika.
 
How does that add bread to your table? Do you mean you cannot live happily without Catholics if yourself are holy?
Ole wangu nisipowashuhudia kweli kama Mungu alivyoniamuru,kwa kuwa damu yenu Mungu atanidai! Angalia Mungu alivyomkali kuhusu kutokutimiza wajibu huo katika Ezekieli 33:8

Ezekieli 33:8
8 Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.

Agizo ni hili hapa👇

Mathayo 28:
19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
But note also what God has commanded me to do in the following verses.

Mathew 28:26-28
26 Basi, msiwaogope, kwa maana hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa, ambalo halitajulikana.
Mathayo 10:26

27 Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri, lihubirini juu ya nyumba.
Mathayo 10:27

28 Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.
Mathayo 10:28
 
Na Mtume muhamad alivyowasomea MAJINI KORAN ni mjumbe wa nani?!
 
kanisa lote la katoliki linaabudu misingi ya kishetan na halifanani kabisa na kanisa la kwanza la mitume. ukitaka kuamini hilo, fanya comparison ya kila kitu, weka kanisa la mitume la kwanza lile lililozaliwa siku ya pentecost upande mmoja na upande mwingine weka kanisa katoliki. anza kulinganisha;

1. kanisa la kwanza waliomba kwa Jina la Yesu tu, wakatoliki wanaomba kwa Jina la Yesu, la Maria, na wafu.

2. Kanisa la kwanza lilikuwa na misingi ya Roho Mtakatifu, watu waliookoka walikua wanajazwa Roho, katoliki hawaamini kujazwa Roho Mtakatifu na wanapinga wokovu. kitabu cha Matendo kinasema kanisa likaongezeka kwa wale waliokuwa wakiokolewa, watu walikuwa wanaokoka.wakatoliki wanahitaji kuokoka.

3. kanisa la kwanza kitabu cha Matendo liliombea wagonjwa, lilifukuza pepo, hadi ilifika kipindi Paulo au nisema Petro na mitume wengine walikuwa wanapita kivuli chao tu kikipita kwa mgonja anapona, kanisa katoliki hawawezi hata kuombea mtu aliyepagawa na mashetani tu, na wanapinga mambo ya kuombeaombea yasiyoendana na canon law.

4. kanisa la kwanza liliheshimu zaidi Biblia kuliko chochote, katoliki wanaheshimu canon law kuliko hata Biblia. ndio maana umeona ametokea padri US akapinga misimamo ya paoa hasa kwenye ushoga na transgenders, ila PAPA amemsimamisha na kumvua cheo.

5. kanisa la kwanza walikuwa wananena kwa lugha, katoliki ukinena kwa lugha wanakufukuza, hawataki kabisa kusikia icho kitu. hata wale karismatic wanaopambana kufuata system ya kuokoka wanafukuzwa kabisa kwenye makanisa.

yapo mengi ila ngoja niishie hapa. Wakatoliki wanaabudu dini, sio Mungu na hata uwaambie utasikia wanakwambia sisi ndio kanisa la kwanza, unawauliza kanisa la kwanza lilikuwa linaabudu kama ninyi? hawana jibu wanakwambia sisi ndio wa kwanza. Biblia yenyewe hawasomi, majority ya wakristo wasiosoma Biblia ni wakatoliki. Jueni ya kwamba, kwenda kanisani kila jumapili, kuamini kwamba ukifa utaombewa hukohuko kaburini ili usamehewe dhambi, ni uongo, mnahitaji kuokoka ili muepukane na jehanum ya moto. Mungu awasaidie.
 
Mbona ujaeleweka apa Vatican ipo against illuminati au Vatican ni illuminati
 
Ni wenye akili timamu tu wanaweza wakaona usahihi wa Kanisa Katoliki. Hawa wote wanaojifanya maadui wa kanisa hawataweza kukuelewa. Ni juu yako tu kushika uliposhika.
Pole yao aisee mbali na changamoto kadhaa ila kanisa katoliki lina neema nyingi sana
 
Roman Catholic ni kanisa lenye nidhamu sana, na haliendekezi mabishano. Hivyo unapolisema na kulichafua hutasikia ukijubiwa Kwa maana hawawezi bishana na mtu ambaye sio mwelewa.
 
Tatizo kubwa kwa wakatoliki na ukatoliki ni kule kumkataa Yesu Kristo na Biblia kwa gharama ya kuambatana na vitu vingine kama kumshika Maria (tena wakufikirika), kumshika Papa na mapokeo ya wazee wa kale wa huko Roma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…