Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 493
- 1,135
Ndio tabia yenu wasabato , kuwapinga wakristu wengine .Mimi ni mkatoliki acha kukariri bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tabia yenu wasabato , kuwapinga wakristu wengine .Mimi ni mkatoliki acha kukariri bwana
Kuhani mkuu😀Shida ni kuwa watu wanaweka Imani kwa wanadamu kuliko Yesu mwenyewe, utasikia "wee kuhani musa yule ni kiboko" who is kuhani musa???
BBC ndiyo ulimwengu wenyewe na ndiyo sheria yenyewe ya kidunia pepo haliwezi fukuza pepo lakini kwao ukweli na uongo unashonwaIna maana taarifa zilizotolewa ni za uongo? Na kama ni za uongo kwanini hao BBC wasishtakiwe na kuwajibishwa kwa kupotosha ulimwengu ukizingatia hatua ya kimaendeleo iliyopo huku dunia ya kwanza?
Siyo kazi ya Simba kushughulika na propaganda zilizopo kwenye app ya Yanga.Ina maana taarifa zilizotolewa ni za uongo? Na kama ni za uongo kwanini hao BBC wasishtakiwe na kuwajibishwa kwa kupotosha ulimwengu ukizingatia hatua ya kimaendeleo iliyopo huku dunia ya kwanza?
Yupo kwenye biblia?Duuuh mdogo wangu kua basi, achana na hao wasabato japo ni wajinga ila kwa huu uzi hawahusiki, kwnaza kabla ya yote unamjua Robert Strickland?
Ndo hivyo😀Kwahiyo yeye anijona Kayafa au Gamalieli??
😁😁😁
Na Mungu atakubariki kwa hakika, japo lengo la dini ni kuwaweka watu pamoja wenye tumaini moja ikiwa una moyo mdogo utaumizwa sana na matendo ya washirika wenzakoDini zote na madhehebu yake zina upande wa mauzauza ndio maana akina sisi tumeamua kumuamini Mungu bila kumhusisha na dini.
Janja unaijua elimu yangu ya nje na yaPunguza roho mbaya na kashfaa bwana mdogo!!
Sindano huwa inauma makalioni ila ndio inaponya
Hakuna dini hata moja itakayompa mtu pepo.Dini zote na madhehebu yake zina upande wa mauzauza ndio maana akina sisi tumeamua kumuamini Mungu bila kumhusisha na dini.
Nani wa kuwashitaki? Maana BBC ni wapotoshaji wakubwa. Sio kwenye mambo ya dini tu hata kwenye mambo mengine duniani mfano vita. Ni wapotoshaji wakubwa sana.Ina maana taarifa zilizotolewa ni za uongo? Na kama ni za uongo kwanini hao BBC wasishtakiwe na kuwajibishwa kwa kupotosha ulimwengu ukizingatia hatua ya kimaendeleo iliyopo huku dunia ya kwanza?
Mlei wa kawaida hawezi kuyajua yote haya, wewe utakuwa padre-mshindwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi Sasa nimepata sakramenti ya ubatizo, kitubio, ekaristi TAKATIFU, kipaimara bado ndoa na mpako mtakatifu na uote nayaamini katika imani, matumaini na mapendo
BBC haipotoshi kwa bahati Mbaya, cha kwanza inatakiwa uelewe wamiliki wa hizo media ni kina nani?Nani wa kuwashitaki? Maana BBC ni wapotoshaji wakubwa. Sio kwenye mambo ya dini tu hata kwenye mambo mengine duniani mfano vita. Ni wapotoshaji wakubwa sana.
Kama kuna siku bbc swahili wameandika upotoshaji mkubwa kuhusu Papa bahati yao mbaya walikutana na watu ambao walisikia alichosema Papa, wakatuma comments za kuwasema mpaka wakaomba radhi. Sio mara ya kwanza bbc kutumika kupotosha taarifa. Na ubaya watu hatupendi kufuatilia mambo.