UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

Unauhakika kati ya papa na kanisa nani shetani?

Toka nje ya boksi......papa anaweza kulishawishi kanisa au kanisa ndio linashida?
 
Conspiracy theories tu hizo
 
Leo saa 12 na nusu nikiwa kanisani siti ya mwisho nimekaa natafakari hivi haya mapokeo tutakua watumwa wa fikra mpaka lini na jibu sijapata ngoja kesho nirudi Tena
 
Acha ku
Acha kupotosha watu kwanza wewe sio mkatoliki
Tuambie kabla ya kupata kipaimara unatakiwa uwe umepata nn
 
Kanisa katoliki lilishamwacha Munguw a kweli karne nyingi sana zilizopita, na kilichobaki huwa wanaabudu tu wafu, maria na dini. hawaamini katika uongozi wa Roho Mtakatifu kwasababu hawajazwi na hawataki kujazwa Roho, bila Roho hakuna wokovu wa kweli. wanakataa kuokoka kwa kuamini kwamba mwanadamu hawezi kuokoka wakati bado anaishi hapa duniani.

ajabu yake, kitabu cha Matendo kinaeleza namna ukristo wa kwanza ulivyokuwa, kina sema "Bwana akaliongeza kanisa kwa wale waliokuwa wakiokolewa", which means, wokovu upo hapahapa duniani na mbinguni ni kumalizia tu milele, na maana ya wovovu ni kuokolewa kutoka kwenye utawala wa dhambi na vifungo mbalimbali na kupelekwa kwenye ufalme/utawala wa kiMungu kwa Yesu Kristo. unaishi sio wewe tena bali kama mali ya Kristo, yeye kama mwombezi wako na mwokozi wako.

kanisa la kwanza hawajawahi hata mara moja kuomba kwa maria, wala kwa wafu. angalia kitabu cha Matendo chote, hakuna kitu kama hicho, kanisa la kwanza watu wakihubiriwa na kuokoka, walikuwa wanawekewa mikono na kupokea ujazo wa Roho Mtakatifu kwasababu Yesu alisema peke yenu hamuwezi kufanya lolote bila huyo msaidizi. Yesu mwenyewe alipokaribia kuondoka, alitoa agizo kuu la kuhubiri njili kwa kila kiumbe dunia yote, aaminiye na kubatizwa ndiye ataokoka, asiye amini atahukumiwa, na ishara hizi zitaambatana na wale waaminio, kwa JIna langu wata toa pepo, watasema kwa lugha mpya....., (meaning watanena kwa lugha), makanisa mengi kama katoliki hata sabato na mengine hawaamini kunena kwa Lugha kama ni udhihirisho wa ujazo wa Roho Mtakatifu.

unakumbuka Paulo alichofanya kule Efeso? MATENDO 19

Wakati Apolo alipokuwa Korintho, Paulo alisafiri sehemu za bara, akafika Efeso ambako aliwakuta wanafunzi kadhaa. 2Akauliza, “Je, mlipopata kuwa waumini mlipokea Roho Mtakatifu?” Nao wakamjibu, “La! Hata hatujasikia kwamba kuna Roho Mtakatifu.” 3Naye akasema, “Sasa mlipata ubatizo wa namna gani?” Wakamjibu, “Ubatizo wa Yohana.” 4Naye Paulo akasema, “Ubatizo wa Yohana ulikuwa wa kuonesha kwamba watu wametubu. Yohana aliwaambia watu wamwamini yule ambaye alikuwa anakuja baada yake, yaani Yesu.” 5Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu. 6Basi, Paulo akawawekea mikono, na Roho Mtakatifu akawashukia, wakaanza kusema lugha ngeni na kutangaza ujumbe wa Mungu.

ukiona kanisa lolote halitembei kwenye imani hii hapa juu, jua ni kanisa potofu. la kwanza ni katoliki, wasabato, mitume na manabii, lutheran na wengine wote wanaofanana na hao.(though wapo wachache ndani yake kama wale wana uamsho na fellowship hao huwa wanakutana na Mungu tofauti na wale wanaong'ang'ania katekisimo hadi leo wanaabudu dini na hawatakuja kumwona Mungu kwa mfumo huo).
 
Mathayo 7: 1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.


Yohane 16: 33 Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
 
Mathanzua
 
Watakuja kubisha hapa ila ndo ukweli wakatoliki ni anti christ kabisa hawa
 
Huwaga BBC sifuatilii kabisa ni watu waongo sana na rumors.
 
Hii dunia inaendeshwa na kundi fulani la siri nyuma ya pazia.

Mathanzua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…