Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Mkwawe niruhusu kwanza nikiri kwamba mimi sio Msabato.Nikiri pia kwamba sipendi madhehebu kwa kuwa sio mpango wa Mungu,it is a satanic enterprise.Hawa ni wasabato ambao wanasem
Ni kweli, ila hupaswi kuweka tumaini lako kwa mwanadamu
Neni la Mungu linasema "Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, Nani angesimama.."
Tumaini letu ni Kristu tu achana na habari za papa hata yeye akikengeuka moto utamuhusu tu.
Niseme hivi, neema ya Mungu inatukataza uovu wa kila aina,kwa hiyo ukisema upo kwenye Neema halafu unaendelea na uovu na kushikamana na waovu unajidanganya.Nimeona niliweke hili sawa kwanza kwa kuwa watu wanaendelea kufanya uovu kwa makusudi halafu wanasema Neema ya Mungu inatosha,hapana,lazima kuwe na dhamiri ya kweli ya kumpendeza Mungu.
Tito 2:11-12 inasema,
"11 Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa;
12 nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa.
Naomba niseme hivi,mtu mwenye dhamira ya kweli hawezi kupenda kushirikiana katika mambo ya kiroho na waovu,hakiwezekani.Mtu hana Roho Mtakatifu,atakusaidia nini katika mambo ya kiroho,nothing,so why have him.Ndio maana Mungu ametuamuru tutoke katikati yao tujitenge nao.
,tusifungiwe nira nao kwa jinsi isivyo sawa sawa!
2Wakorintho 6:14 inasema,
"14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike."
Na hata ukisoma Ufunuo 18:4-5,Tunapata picha hiyo hiyo,get out.
Ufunuo 18:4-5
4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
5 Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka aovu yake.
Infact hapa Neno linazungumzia specifically about the Catholic establishment,God is telling you people to get out,so get out,mtasita sita mpaka lini?
Kwanza Mungu anataka Kama Wana wa Mungu tupate the right word of God,cream.Huko uliko hata Pope Francis mwenyewe amekiri kwamba Neno limeghoshiwa,kuna matango pori,meaning kuna heresy.
1 Petro 2:2
2 Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu;
Nimalizie kwa kusema I don't understand you people,get out,if you don't Kama Mungu alivyoahidi mtashiriki mapigo take,sio ya Papa Francis,but the Catholic establishment.Amua kabla mlango haujafungwa.