Mawazo kama haya bure kabisa! Halafu kwenye maendeleo mtasingizia wakoloni wakati maendeleo yenyewe yananzia kwenye fikira. Kama hatuwezi kubadilika tutaendelea hivi hivi tu hadi siku ya kushika udongo.Mie sina shida na dini za majahazi ,,,,nawashangaa tu nyie wamatumbi ambao mishipa inawatoka kukomalia kutetea tamaduni za mzungu na mwarabu, hao wakatoliki wakitaka wafumuliwe marinda ,wafumiliwe tu maana ni yao, na hata nyie kobazi fateni suna zenu za kuchinjana na kutunukiwa mabikira huko mbinguni kwenu,,,,,ila sie tutabaki na asili zetu