PreGE2025 Ukweli mchungu: Waliokataliwa sio CHAUMMA, bali ni CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Ukitafakari kwa kina, utagundua huu ndio ukweli . Mwanza hawajaikaa CHAUMMA, bali wameikataa CCM inayotuhumiwa kuifadhili CHAUMMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA.

Hasara ya CHAUMMA ni kupoteza hata ile imani kidogo watanzania waliokuwa nayo juu ya chama hiki.

Somo lingine: Kukataliwa kwa CHAUMMA huko Mwanza, ni ushahidii kuwa mitandao ina nguvu sqna katika kuhabarisha umma juu ya nini kinaendelea katika nchi na kwamba mainstream media haina tena impact kwa umma inapotumika kwa masilahi ya CCM.

Kwa kifupi, watanzania hawaitaki CCM na wale wote wanaohusika au kuhusishwa na CCM

Habari ndio hio.
 
Hakuna mwnaanchi wa kudanganyikwa kwa sasa.
 
1000038805.jpg
 
kuambatana na CCM nikujipaka kinyesi cha ulanzi
 
Imekuwaje mkuu?maana mwnyew nipo mwanza lkn sijajua chochote kuwahusu
Nimepita jioni saa 11 nimekuta uwanja mweupe kuna watu 25 na ngombe wawili,aibu wanasingizia chopa. Mbona Heche hana chopa watu wanakuja kwa maelfu na kukichangia chama fedha ya kufanyia kazi. Aliyeanzisha hii project hakufanya feasibility study alikurupuka tu. TISS na CCM wametapeliwa kibwege sana na hawa walevi.
 
Nomepita jioni saa 11 nimekuta uwanja mweupe watu kuna watu 25 na ngombe wawili,aibu wanasingizia chopa. Mbona Heche hana chopa watu wanakuja kwa maelfu na kukichangia chama fedha ya kufanyia kazi. Aliyeanzisha hii project hakufanya feasibility study alikurupuka tu. TISS na CCM wametapeliwa kibwege sana na hawa walevi.
Haha....hapa lazma warudi mezan upya watathimini mwenendo wao cz uungwaj mkono umekuwa wa chini...lakn zaid ni kwamna dhambi ya usaliti huwa ina madhara makubwa sanaa...kwan hyo choppa ndo ilikuwa imebeba hoja za kujq kunadi kweny hicho kikao?
 
Ukitafakari kwa kina, utagundua huu ndio ukweli . Mwanza hawajaikaa CHAUMMA, bali wameikataa CCM inayotuhumiwa kuifadhili CHAUMMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA.

Hasara ya CHAUMMA ni kupoteza hata ile imani kidogo watanzania waliokuwa nayo juu ya chama hiki.

Somo lingine: Kukataliwa kwa CHAUMMA huko Mwanza, ni ushahidii kuwa mitandao ina nguvu sqna katika kuhabarisha umma juu ya nini kinaendelea katika nchi na kwamba mainstream media haina tena impact kwa umma inapotumika kwa masilahi ya CCM.

Kwa kifupi, watanzania hawaitaki CCM na wale wote wanaohusika au kuhusishwa na CCM

Habari ndio hio.
"inayotuhumiwa", haituhumiwi bali ndiyo inayoifadhili, hata chopa waliyoisema ni ya CCM.
 
Tatizo Mrema hawapiki chungu kimoja na Zitto, walitakiwa kujiunya na ACT- Wazalendo. Nimemsikia kura wote maelezo na Salimu Mwalimu anaongelea chopa kutokuwepo. Yaani kama CCM waeleze kutofika Kwa Diamond kwenye mkutano. CDM wanelezea NRNE walk hawajibu chochote.
 
Back
Top Bottom