Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 1,136
- 1,118
Kumbe ndio ambaye yuko behind the scenesMbowe anachungulia tu utafikiri siyo yeye aliyewatuma
Kumbe ndio ambaye yuko behind the scenesMbowe anachungulia tu utafikiri siyo yeye aliyewatuma
Ni yeye kawatanguliza mgambo wake huku akipima upepo,yeye ndiye atakuwa mgombea urais kupitia ChaumwaKumbe ndio ambaye yuko behind the scenes
Mbowe na Amos makala ndiyo madalali wa ununuzi na uuzaji wa magalasa G55 ni wezi wa pesa za walipa kodiKumbe ndio ambaye yuko behind the scenes
Mzee Hashim Rungwe ni mjanja fulani yeye ameshachukua mzigo wake hicho chama ameshakiuza.Chaumaccm ni pesa za wizi toka Hazina pesa za walipa kodi Amos makala na mbowe wamefanya udalali wa kisiasa kwa njia haramu za kishetani na wananchi wa mwamza wanajua chauma ubwabwa ni chama cha kishetani ni uzao wa wizi wa pesa za walipa kodi ni chama cha ufuska Rushwa za ngono za akina kileo mzee wa Tindikali kule Tabora na akina Salum mwalimu wahuni wandamizi, mzee Hashim Rungwe ajiandae kwa pressure kwani watamfanyia vituko hizo G55 zote ni magalasa na ibirisi watupu na wezi akina mrema na wazee wa majungu vitina umbea Kigaila ni kizee cha hovyo kina ujuaji wa kishamba sana, Chaumaccm ni uwanja wa shetani
Mbowe kaiba pesa nyingi kupitia uuzaji G55 kaamua kujificha ale bata kwanzaNi yeye kawatanguliza mambo wake huku akipima upepo,yeye ndiye atakuwa mgombea urais kupitia Chaumwa
Na hata wakati wa uchaguzi uliomuondoa madarakani alivuta pesa nyingi toka kwa Samia ili kuzuia Lissu kuwa mwenyekitiMbowe kaiba pesa nyingi kupitia uuzaji G55 kaamua kujificha ale bata kwanza
Hashim Rungwe kazungukwa na mashetani watupu huku kileo mzee Tindikali huku mrema mwizi jambazi wa kalamu huku Salum mwalimu mnafiki fusika huku kigaila mjuaji mbea muongo mkuu wa majungu Chaumaccm ni ukanda mkuu wa ibirisi wakubwaUmaskini Ni Mbaya Sana..Maskini Hana msimamo..Mimi binafsi siwezi sikiliza siasa
Mbowe ni mwizi ni kijitu cha hovyo sanaNa hata wakati wa uchaguzi uliomuondoa madarakani alivuta pesa nyingi toka kwa Samia ili kuzuia Lissu kuwa mwenyekiti
Hakuna Watu wenye wakati mgumu kama ccmUkitafakari kwa kina, utagundua huu ndio ukweli . Mwanza hawajaikaa CHAUMMA, bali wameikataa CCM inayotuhumiwa kuifadhili CHAUMMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA.
Hasara ya CHAUMMA ni kupoteza hata ile imani kidogo watanzania waliokuwa nayo juu ya chama hiki.
Somo lingine: Kukataliwa kwa CHAUMMA huko Mwanza, ni ushahidii kuwa mitandao ina nguvu sqna katika kuhabarisha umma juu ya nini kinaendelea katika nchi na kwamba mainstream media haina tena impact kwa umma inapotumika kwa masilahi ya CCM.
Kwa kifupi, watanzania hawaitaki CCM na wale wote wanaohusika au kuhusishwa na CCM
Habari ndio hio.
Amos makala na chawaccm wamevuruga ccm kwa kutengeneza matukio haramu ya kishetani kwa kumchochea ibirisi mama iddy Amin mkoloni kaburu Dikteta toka Zanzibar awanyanyase watanganyika kisha wanatumia fursa hiyo kuomba bilion 15 kazi maalum ya kutuliza joto la kisiasa ni wizi mpya wa pesa za walipa kodi, ccm ni janga la kitaifaHakuna Watu wenye wakati mgumu kama ccm
Chaumaccm au chauma ubwabwa hata kama Hashim Rungwe akijidai kuwa boss watamtoa tu au atakufa kwa pressure kwani G55 ni umoja wa ibirisi na mashetani wa aina zoteMzee Hashim Rungwe ni mjanja fulani yeye ameshachukua mzigo wake hicho chama ameshakiuza.
Kwa hili nadhani hata mfadhili wao wa huu mchezo (sisiem) atashtuka kuwa kacheza karata zake kibwege! Na akisitisha maokoto wanasambaratika!Hawa wajinga wamevuna aibu kubwa sana leo hapa Mwanza
Chopa bado ipo kwa anga, chopa bado ipo kwa anga. Alisikika mlevi mmoja aitwae John mrema. Rungwe yeye alikuwa chocho. Wanataka chopa utafikiri ndio inasomba watu.Haha....hapa lazma warudi mezan upya watathimini mwenendo wao cz uungwaj mkono umekuwa wa chini...lakn zaid ni kwamna dhambi ya usaliti huwa ina madhara makubwa sanaa...kwan hyo choppa ndo ilikuwa imebeba hoja za kujq kunadi kweny hicho kikao?
Uko sahihi kabisa, hata hayo majimbo Samia amehidi kuwapatia itakuwa ngumu sana, awape ubunge kwa wapiga kura gani waliokuwa nao. Maana hata mtu ukitaka kudanganya basi uwongo huo ukaribiane na ukweli. CCM na TISS wametapeliwa kijinga sana na hawa walevi, waliwaaminisha kuwa wataihamisha Chadema yote kuwa Chaummwa.Kwa hili nadhani hata mfadhili wao wa huu mchezo (sisiem) atashtuka kuwa kacheza karata zake kibwege! Na akisitisha maokoto wanasambaratika!