Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hili ni kweliKwa kifupi, watanzania hawaitaki CCM na wote wanaohusika au kuhusishwa na CCM
Hakuna mwnaanchi wa kudanganyikwa kwa sasa.Somo lingine: Kukataliwa kwa CHAUMMA huko Mwanza, ni ushahidii kuwa mitandao ina nguvu sqna katika kuhabarisha umma juu ya nini kinaendelea katika nchi na kwamba mainstream media haina tena impact kwa umma inapotumika kwa masilahi ya CCM.
😀😀Imekuaje tena
Imekuwaje mkuu?maana mwnyew nipo mwanza lkn sijajua chochote kuwahusuHawa wajinga wamevuna aibu kubwa sana leo hapa Mwanza
kuambatana na CCM nikujipaka kinyesi cha ulanziUkitafakari kwa kina, utagundua huu ndio ukweli . Mwanza hawajaikaa CHAUMMA, bali wameikataa CCM inayotuhumiwa kuifadhili CHAUMMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA.
Hasara ya CHAUMMA ni kupoteza hata ile imani kidogo watanzania waliokuwa nayo juu ya chama hiki.
Somo lingine: Kukataliwa kwa CHAUMMA huko Mwanza, ni ushahidii kuwa mitandao ina nguvu sqna katika kuhabarisha umma juu ya nini kinaendelea katika nchi na kwamba mainstream media haina tena impact kwa umma inapotumika kwa masilahi ya CCM.
Kwa kifupi, watanzania hawaitaki CCM na wale wote wanaohusika au kuhusishwa na CCM
Habari ndio hio.
CCM wameongeza nyumba ndogo chaummaImekuaje tena
Nimepita jioni saa 11 nimekuta uwanja mweupe kuna watu 25 na ngombe wawili,aibu wanasingizia chopa. Mbona Heche hana chopa watu wanakuja kwa maelfu na kukichangia chama fedha ya kufanyia kazi. Aliyeanzisha hii project hakufanya feasibility study alikurupuka tu. TISS na CCM wametapeliwa kibwege sana na hawa walevi.Imekuwaje mkuu?maana mwnyew nipo mwanza lkn sijajua chochote kuwahusu
Haha....hapa lazma warudi mezan upya watathimini mwenendo wao cz uungwaj mkono umekuwa wa chini...lakn zaid ni kwamna dhambi ya usaliti huwa ina madhara makubwa sanaa...kwan hyo choppa ndo ilikuwa imebeba hoja za kujq kunadi kweny hicho kikao?Nomepita jioni saa 11 nimekuta uwanja mweupe watu kuna watu 25 na ngombe wawili,aibu wanasingizia chopa. Mbona Heche hana chopa watu wanakuja kwa maelfu na kukichangia chama fedha ya kufanyia kazi. Aliyeanzisha hii project hakufanya feasibility study alikurupuka tu. TISS na CCM wametapeliwa kibwege sana na hawa walevi.
"inayotuhumiwa", haituhumiwi bali ndiyo inayoifadhili, hata chopa waliyoisema ni ya CCM.Ukitafakari kwa kina, utagundua huu ndio ukweli . Mwanza hawajaikaa CHAUMMA, bali wameikataa CCM inayotuhumiwa kuifadhili CHAUMMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA.
Hasara ya CHAUMMA ni kupoteza hata ile imani kidogo watanzania waliokuwa nayo juu ya chama hiki.
Somo lingine: Kukataliwa kwa CHAUMMA huko Mwanza, ni ushahidii kuwa mitandao ina nguvu sqna katika kuhabarisha umma juu ya nini kinaendelea katika nchi na kwamba mainstream media haina tena impact kwa umma inapotumika kwa masilahi ya CCM.
Kwa kifupi, watanzania hawaitaki CCM na wale wote wanaohusika au kuhusishwa na CCM
Habari ndio hio.
Kweli yote uliyosemaChadema ni mpango wa Mungu,Chauma na CCM hawana tofauti,isipokuwa CCM wanakuja na wasanii na waigizani halafu na posho za kuwasomba watu,bila hivyo hamna kitu na wao wanajua