PreGE2025 Ukweli mchungu: Waliokataliwa sio CHAUMMA, bali ni CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni yeye kawatanguliza mambo wake huku akipima upepo,yeye ndiye atakuwa mgombea urais kupitia Chaumwa
Alishaingiza mguu mmoja,ila baada ya kilichotokea Jana nadhani huko alipo yupo kwenye mtanziko mkubwa maana ataenda kuaibika kwelikweli😂
 
Ukitafakari kwa kina, utagundua huu ndio ukweli . Mwanza hawajaikaa CHAUMMA, bali wameikataa CCM inayotuhumiwa kuifadhili CHAUMMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani badala ya CHADEMA.
Kwa kweli wana Mwanza wasingeweza kuikataa CHAUMMA halisi chama langu, ila ndio hivyo tena CCM wameamua kukizamisha. Tunapinga njaa ila na sisi CHAUMMA tumepitiwa na njaa tukapokea fedha. Sema rais Rungwe anakosea kuwapa kina Mrema kuwa ndio waongozaji wa Mikutano na itifaki.
 
Ila mwenyekiti wa CCM naye matakwo kabisa yaani anadanganywa mchana kweupe kwamba Kigaila na Mrema wataiua CHADEMA anatoa na hela kabisa? Hii aibu imewakuta mchana kweupe! Kama kituko cha Gambo na Magu kule Arusha walivyonunua watu kwenye mkutano na wasitokee! Nikasikia Jiwe anasema pumbavu kabisa!
 
Mwambie mzee Rungwe aje na masinia ya ubwabwa!
 
Kwa kifupi, watanzania hawaitaki CCM na wale wote wanaohusika au kuhusishwa na CCM👌🏿💪🏿
 
Tatizo sio ccm wala chaumma au upinzani!!

Kwamfumo uliopo hata chadema au upinzani ukishika baada ya Muda utashindwa kuleta matokeo!!

Taasisi ya urais lazima isimamiwe na chombo huru n asio Rais kuwa top owa kila kitu!!

Leo unaona jeshi la polisi linazingira kanisa haya ni matokeo ya ubovu wa mfumo sio Rais wala chama!!

Baraza la usalama lisingekubali jeshi lizunguke kanisa ambalo halina mabomu Wala Bunduki !Hilo ni tatizo la mfumo!!
 
Leo vipi mkutano wa pili wapi wa chauma ,up to date
 
Samia mwenyewe keshagundua kuwa pamoja na kutumia kila mbinu ili Chadema is ishirini bado hali ngumu kwake! Kila kona anachapwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…