Ukweli Mchungu: Watanzania watalipenda sana Bunge lijalo

Habari WanaJF,

Binafsi ninaamini Bunge lijalo litakuwa ni Bunge la kufurahisha sana na lenye changamoto kuliko bunge lenye wabunge wengi Wa upinzani ndani yake. Ni bunge litakalojadili na kufanya maamuzi makubwa yenye maslahi mapana kwa taifa letu. Ni bunge litakalothibitisha ubora na viwango vyote vinavyotakiwa bila hata upinzani wa vyama kuwepo.

1. Watanzania wengi wanaamini kwamba, Saudi za wana-CCM bungeni ndio zimeleta mabadiliko tunayoyaona nchini yaliyotokea kwa kipindi kifupi sana. Na bado waliamini sauti zile zilikuwa chache kuleta maendeleo yaliyokusudiwa ndio maana kwa hiari yao wakaamua kulifanya bunge kuwa la wabunge Wa CCM tu. Hivyo naamini litakuwa ni bunge LA watanzania wote wapenda mabadiliko.

2. Binafsi naamini hoja zitazopelekwa bungeni, zitawagusa watanzania kwa asilimia karibu mia na zitapitishwa kwa asilimia kubwa na kufanya maamuzi magumu na makubwa kwa maslahi ya taifa kuharakishwa. Maamuzi hayo yatapendwa na watu na kulipenda binge licha ya kuwa litakuwa ni la karibu la chama kimoja.

3. Bunge lijalo litawasahaulisha watanzania juu ya hofu yao ya nafasi ya upinzani kwenye mfumo Wa vyama vingi vya siasa na wataona kuwa hata chama kimoja kinatosha kuelezea ukomavu wa demokrasia na kuleta mawazo mbadala wa sera.

Waliofikiri watanzania wataona bunge lijalo halina tija bila wingi wa wapinzani ,wamekosea sana bunge lijalo ndio litaloleta upinzani wa kweli wa hoja na mipango
Utambuwe kwamba hivi tulivyo kama taifa ni matokeo ya yaliyofanywa na ambayo hayakufanywa na serekali za CCM.
 
Wewe mataga umekimbia jukwaa kabisa!

Litakuwa zuri kama tu
  1. Halitakuwa na Nepi
  2. Halitakuwa na Kambakamba
  3. Hakutakuwa na Loose ndevu
  4. Halitakuwa na Mzungu yeyote
  5. Halitakuwa na Miguu kwenye Chemba
  6. Nk
 
Siku zote nabii hakubaliki kwao
Kwa hiyo mpaka sasa kwa akili zako umethibitisha kwamba watanzania wanalipenda na kulifurahia hili bunge, na kwamba wewe mwenyewe unavutiwa nalo sana.
Na kwa akili zako hizo umeona mambo ya msingi ambayo limejadili na kupitisaha kwa masilahi ya wananchi. Na sasa wananchi wanafurahi sana huko mitaani.
 
Ukweli ambao hausemwi kutokana na kuchukiwa unapotamkwa ni kwamba bila hata Mbowe au Lissu bungeni bado bunge ni tamu sana. Binafsi, mimi linanifurahisha sana na ninaona raha kuwasikiliza wana mapinduzi wakijadili kwa afya ya uchumi na maendeleo.
 
Mapinduzi gani?. Mapinduzi ya tozo na mikopo ya nje?. Bunge la Sasa ni Halmashauri ya CCM hamna lolote. Spika anadai bunge halina uwezo wa kuilazimisha serikali.
 
Bunge la hovyo kuwahi kutokea. Spika anafukuzwa kiss kaongea kweli?
Wataalamu wa uchumi wanadai deni la taifa bado ni himilivu na stahimilivu. Kitendo Cha spika kujua ukweli halisi wa deni kuwa bado ni himilivu na kuja na kauli ya 'nchi kupigwa mnada' ni ishara tosha alikuwa na nia ovu.

Kosa alilofanya katika dhana nzima ya uwajibikaji alitakiwa kuwajibishwa ama kuwajibika hivyo tumpongeze Spika Ndugai kwa kuwajibika
 
Habari WanaJF,

Binafsi ninaamini Bunge lijalo litakuwa ni Bunge la kufurahisha sana na lenye changamoto kuliko bunge lenye wabunge wengi Wa upinzani ndani yake. Ni bunge litakalojadili na kufanya maamuzi makubwa yenye maslahi mapana kwa taifa letu. Ni bunge litakalothibitisha ubora na viwango vyote vinavyotakiwa bila hata upinzani wa vyama kuwepo.

1. Watanzania wengi wanaamini kwamba, Saudi za wana-CCM bungeni ndio zimeleta mabadiliko tunayoyaona nchini yaliyotokea kwa kipindi kifupi sana. Na bado waliamini sauti zile zilikuwa chache kuleta maendeleo yaliyokusudiwa ndio maana kwa hiari yao wakaamua kulifanya bunge kuwa la wabunge Wa CCM tu. Hivyo naamini litakuwa ni bunge LA watanzania wote wapenda mabadiliko.

2. Binafsi naamini hoja zitazopelekwa bungeni, zitawagusa watanzania kwa asilimia karibu mia na zitapitishwa kwa asilimia kubwa na kufanya maamuzi magumu na makubwa kwa maslahi ya taifa kuharakishwa. Maamuzi hayo yatapendwa na watu na kulipenda binge licha ya kuwa litakuwa ni la karibu la chama kimoja.

3. Bunge lijalo litawasahaulisha watanzania juu ya hofu yao ya nafasi ya upinzani kwenye mfumo Wa vyama vingi vya siasa na wataona kuwa hata chama kimoja kinatosha kuelezea ukomavu wa demokrasia na kuleta mawazo mbadala wa sera.

Waliofikiri watanzania wataona bunge lijalo halina tija bila wingi wa wapinzani ,wamekosea sana bunge lijalo ndio litaloleta upinzani wa kweli wa hoja na mipango

Bunge la Sasa baadala liisimamie serikali, lipo kwaajili ya kuipamba serikali.

Bunge limeshindwa kuihoji serikali ni kwa Nini Deni la taifa limeongezeka maradufu?.

Bunge limeshindwa kumlinda spika aliposhambuliwa na watu wa nje kwa kauli yake kuhusu miswada inayotoka serikalini na kupitishwa kwa dharula.

Bunge limeshindwa kuisimamia serikali kuhusu kuja na mfumo mzuri wa kupunguza mfumuko wa Bei.
 
Wewe ndio uhamke. Bunge limeshindwa kuisimamia serikali mpaka Deni limefika Trilioni 91.
Bado deni ni stahimilivu hivyo hatuna sababu ya kuwa na mashaka na ongezeko na kiwango hicho mpaka pale ikisemwa vinginevyo.
 
Wataalamu wa uchumi wanadai deni la taifa bado ni himilivu na stahimilivu. Kitendo Cha spika kujua ukweli halisi wa deni kuwa bado ni himilivu na kuja na kauli ya 'nchi kupigwa mnada' ni ishara tosha alikuwa na nia ovu.

Kosa alilofanya katika dhana nzima ya uwajibikaji alitakiwa kuwajibishwa ama kuwajibika hivyo tumpongeze Spika Ndugai kwa kuwajibika

Deni himilivu kivipi. Deni limefika asilimia 56 ya GDP, maana tumevuka 50%. Kwa Kasi hii ya kukopa tutajikuta baada ya miaka mitatu tumefika asilimia 62. Mpaka tufike 2030, tutakuwaje tumefika asilimia 70. Hii itakuwa hatari , maana tutakuwaje tunakopa huku tunalipa madeni ya nyuma.
 
Bado deni ni stahimilivu hivyo hatuna sababu ya kuwa na mashaka na ongezeko na kiwango hicho mpaka pale ikisemwa vinginevyo.

Stahimilivu 56% ?. Tuwe serious. Umeshavuka dangerline ya 50 unasema ni stahimilivu.
 
Back
Top Bottom